Wewe sema tuu, nilekebishe, mambo ya kujizungusha hayawezi kusaidia kitu, wewe nimwalimu wa kiswahili ni sawa tunatofautia kazi mkuu"Nenda kasome angalau QT ujue tofauti ya 'r' na 'l'. Hakuna neno 'dhalau' bali kuna dharau. Huwezi kipanga sentensi na unatumia herufi ndogo throughout.
Michosho tu kwa sababu bando ni lako
Utamsaidiaje!Nenda kasome angalau QT ujue tofauti ya 'r' na 'l'. Hakuna neno 'dhalau' bali kuna dharau. Huwezi kipanga sentensi na unatumia herufi ndogo throughout.
Michosho tu kwa sababu bando ni lako
Utamsaidiaje!Nenda kasome angalau QT ujue tofauti ya 'r' na 'l'. Hakuna neno 'dhalau' bali kuna dharau. Huwezi kipanga sentensi na unatumia herufi ndogo throughout.
Michosho tu kwa sababu bando ni lako
Mimi binafsi nimekuelewa, ila naomba kidogo tu uniwekee uthibitisho kwamba yale yalikuwa ni maamuzi ya mwenyekiti wao tu, na wala sio ya maamuzi ya mkutano wa chama au walau wabunge, ili na mimi niungane nawe katika kumlaani mwenyekiti...nimeamua kuwadharau Chadema kwa kukubaliana kirahisi na maamuzi ya mwenyekiti wao, kwa maana hiyo mwenyeketi akisema jambo basi ni sawa, watu hawapewi hata warning letter, watu hawapewi nafasi nyingine ya kujitetea.
Nilekebishe=Nirekebishe!wewe sema tuu, nilekebishe, mambo ya kujizungusha hayawezi kusaidia kitu, wewe nimwalimu wa kiswahili ni sawa tunatofautia kazi mkuu"
Mwenzako kafukuzwa uanacha kisa matakwa yake ya kutaka kugombea Urais. Huko ndiko kwenye Democracy unaweza enda.Baada ya muda mrefu kuona muelekeo wa CCM haukuwa mzuri japo kuwa kipindi hiki cha awamu ya 5, naona mabadiliko makubwa kidogo nje na hayo mapungufu mengine. Mbowe amechemsha, nimeamua kuwadharau Chadema kwa kukubaliana kirahisi na maamuzi ya mwenyekiti wao, kwa maana hiyo mwenyeketi akisema jambo basi ni sawa, watu hawapewi hata warning letter, watu hawapewi nafasi nyingine ya kujitetea.
Itikadi ya chama, jina la chama, haliendani na uhalisia wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Chama kina prove failure, kwa kutokujua hata maana ya demokrasia, mwenyekiti na watu wake wote hamna kitu.
Ninapata ukakasi kufanya imagination ya endapo mmepata nchi. Msiniambie mtafanya maendeleo zaidi ya haya ya awamu ya 5 au na ninyi ndio walewale waongea maneno mengi kuliko vitendo.
Hivi mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa au amejichagua, mbona kama dectator hivi? Design kama hataki wengine washike wadhifa, alafu design kama neno lake ni sheria, hapana, ni uhuni huu sasa.
Nipo njiapanda, sio CCM wala Chadema kwa sasa.
nani huyo?Mwenzako kafukuzwa uanacha kisa matakwa yake ya kutaka kugombea Urais. Huko ndiko kwenye Democracy unaweza enda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anayeweza kuwa mwanachama was chama fulani bila kufuata agizo la chama. Ukienda kinyume na maagizo ya chama utafukuzwa tu.
Wewe sema tuu, nilekebishe, mambo ya kujizungusha hayawezi kusaidia kitu, wewe nimwalimu wa kiswahili ni sawa tunatofautia kazi mkuu"