Nilikuwa nina muelekeo fulani upinzani lakini kwa haya nimewadharau kabisa

Nilikuwa nina muelekeo fulani upinzani lakini kwa haya nimewadharau kabisa

Mimi naweza nisiwe na fedha lakini sina roho ya umaskini kama wewe ya kumchukia mtu kwa sababu amenizidi kipato. Wewe thread yako ni ya kupambana na Mbowe kwa sababu tu anawasumbua bwanako Meko na Wifi yako Bashite!
upinzani ninacho kiona zaidi kwenu na mashabiki kama ninyi,ni lugha za matusi matusi, hapo ndipo mnaweza hivi kila mpinzani shariti lazima awe anajua kutukana!
 
Pambana katiba iruhusu wagombea binafsi au hamia NCCR
Baada ya muda mrefu kuona muelekeo wa CCM haukuwa mzuri japo kuwa kipindi hiki cha awamu ya 5, naona mabadiliko makubwa kidogo nje na hayo mapungufu mengine. Mbowe amechemsha, nimeamua kuwadharau Chadema kwa kukubaliana kirahisi na maamuzi ya mwenyekiti wao, kwa maana hiyo mwenyeketi akisema jambo basi ni sawa, watu hawapewi hata warning letter, watu hawapewi nafasi nyingine ya kujitetea.

Itikadi ya chama, jina la chama, haliendani na uhalisia wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Chama kina prove failure, kwa kutokujua hata maana ya demokrasia, mwenyekiti na watu wake wote hamna kitu.

Ninapata ukakasi kufanya imagination ya endapo mmepata nchi. Msiniambie mtafanya maendeleo zaidi ya haya ya awamu ya 5 au na ninyi ndio walewale waongea maneno mengi kuliko vitendo.

Hivi mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa au amejichagua, mbona kama dectator hivi? Design kama hataki wengine washike wadhifa, alafu design kama neno lake ni sheria, hapana, ni uhuni huu sasa.

Nipo njiapanda, sio CCM wala Chadema kwa sasa.
 
Wewe sema tuu, nilekebishe, mambo ya kujizungusha hayawezi kusaidia kitu, wewe nimwalimu wa kiswahili ni sawa tunatofautia kazi mkuu"
Hubebeki kabisa!! Umerudia kosa tena. Siyo "nilekebishe" bali ni 'nirekebishe'
 
sipo hapa kushindana muandiko nipo hapa kuwasilisha maana, ni kama vile tusivyo ongea kiswahili fasaha, wewe mwenyewe masikini tuu, unapiga mikelele hapa!
Muandiko!
Dah wewe ndugu umeshindikana kwa ujinga.
Ngoja nikuache usije kuniambukiza huo ujinga wako
 
Hard truth, kwa Tanzania vyama vyote ni vya kijinga tu, CCM ovyo, CDM ovyo, politicians wengi ovyo, hakuna ambaye anawaza hata kudeal na matatizo ya msingi kama elimu ya kishenzi tuliyonayo, kila mtu anawaza tumbo lake tu na jinsi atakavyo manipulate watanzania wampe kura aendelee kushika power, jiwe mwenyewe kalewa sana na power.
It's a total mess, what a shitty country
 
Baada ya muda mrefu kuona muelekeo wa CCM haukuwa mzuri japo kuwa kipindi hiki cha awamu ya 5, naona mabadiliko makubwa kidogo nje na hayo mapungufu mengine. Mbowe amechemsha, nimeamua kuwadharau Chadema kwa kukubaliana kirahisi na maamuzi ya mwenyekiti wao, kwa maana hiyo mwenyeketi akisema jambo basi ni sawa, watu hawapewi hata warning letter, watu hawapewi nafasi nyingine ya kujitetea.

Itikadi ya chama, jina la chama, haliendani na uhalisia wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Chama kina prove failure, kwa kutokujua hata maana ya demokrasia, mwenyekiti na watu wake wote hamna kitu.

Ninapata ukakasi kufanya imagination ya endapo mmepata nchi. Msiniambie mtafanya maendeleo zaidi ya haya ya awamu ya 5 au na ninyi ndio walewale waongea maneno mengi kuliko vitendo.

Hivi mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa au amejichagua, mbona kama dectator hivi? Design kama hataki wengine washike wadhifa, alafu design kama neno lake ni sheria, hapana, ni uhuni huu sasa.

Nipo njiapanda, sio CCM wala Chadema kwa sasa.
Tutasikia mengi. Haya natega sikio vizuri.
 
Upinzani wakamvuta Lowasa ambaye walimsema kama fisadi, na utetezi eti siyo yeye ni mfumo. Kisha mara tu baada ya uchaguzi CUF wakajitoa kwa mgombea mwenza kuongea shit hadharani.

Kufikia pale nikajua kujadili hata siasa ni kujichosha. So siku hizi naona hawa wote sawa tu. Vigeu geu, wanafiki, hawajui mTz wa kawaida anaishije.
 
Upinzani wakamvuta Lowasa. Kisha mara tu baada ya uchaguzi CUF wakajitoa kwa mgombea mwenza kuongea shit hadharani.

Kufikia pale nikajua kujadili hata siasa ni kujichosha. Wawekeze kwenye research & dev waone wanakosea wapi.
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom