Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Hujui kuwa HUJUI na bado wabisha. Changa changa ukasome QTunafanya assumption, ok elimu yako ya kukalilishwa ndiyo inayo kupa jeuri? thinking capacity yako ni shida!
Hujui kuwa HUJUI na bado wabisha. Changa changa ukasome QTunafanya assumption, ok elimu yako ya kukalilishwa ndiyo inayo kupa jeuri? thinking capacity yako ni shida!
Siyo 'dhalau' bali ni "dharau". Huyu mburula wa Lumumba Buk 7 sijui kama hata ngumbaro amesomaidiot kabisa, wewe unaweza hata kuolewa na mbowe, huoni shida za upinzani unaona dhalau tuu!
Dugrii ninayo 2. Zinanisaidia ndiyo maana niko hapa nafanya correction ya mwandiko wako ulio kama bata aliyechamba.kama unayo mbona haikusaidii!!!😡😡😡😀😀😎😎
Wewe unajua nini kuhusu chadema au ushabiki tu?
Chadema ni wahuni
Mbowe pale yupo kwenye biashara wateja ni nyumbu
Binafsi Mimi siyo mwanasiasa ila napenda siasa kwani ndiyo imekuwa kitovu cha kujipatia maendeleo kwa lugha nyingine ndiyo mstakabali wa maendeleo ya Nchi.bora wewe,unaonekana mchembuzi katika 10, ni watu kama 2 au 1 wanao jielewa, chadema ni chama kizuri, lakini kwa sasa dira inapotea, chimbua undani wake na system zao, utajua ninacho maanisha! unawafahamu wakina lowasa na sumaye ndani ya chadema na si ccm?
Binafsi Mimi siyo mwanasiasa ila napenda siasa kwani ndiyo imekuwa kitovu cha kujipatia maendeleo kwa lugha nyingine ndiyo mstakabali wa maendeleo ya Nchi.bora wewe,unaonekana mchembuzi katika 10, ni watu kama 2 au 1 wanao jielewa, chadema ni chama kizuri, lakini kwa sasa dira inapotea, chimbua undani wake na system zao, utajua ninacho maanisha! unawafahamu wakina lowasa na sumaye ndani ya chadema na si ccm?
Siyo "analingia" bali ni "anaringia". Jina la mji huanza kwa herufi kubwa; usiandike "tandahimba" bali andika "Tandahimba"analingia kazi yake ya u teacher wa kiswahili tandaimba shule ya msingi.
kwa hiyo DUGRII yako, kwanini usipeleke kijijini kwenu wakatumie hata kuchambia.Dugrii ninayo 2. Zinanisaidia ndiyo maana niko hapa nafanya correction ya mwandiko wako ulio kama bata aliyechamba.
Na sikuachi leo kila post ukikosea kuandika nitakusahihisha mpaka Kichwa chako kikae sawa
Je wewe kunaunachokijua zaidi? Hapa tatizo ni mwenyekiti tu kuwa firm hakuna jingine mnalo jua ndio mana kila hoja ni Mbowe Mbowe na mlishasema chama kimekufa sasa inakuaje mnahangaika na chama kilichokufa hamlali hampumui na ndio mana mkataka kupenyeza mwenyekiti awe Mwambe au Sumaye ili ajenda zenu za hovyo hovyo zipite kama mtakavyo!!!!ukipenda kusifiwa pia kubali na kukosolewa tuWewe unajua nini kuhusu chadema au ushabiki tu?
Watanzania siku zote ni dhaifu kwa ujumla wao na ni wepesi sana kuyumba. Angalia hata wabunge wengi walivyoyumba mwaka jana, watu hawana msimamo na rahisi sana kuwapuliza. Maamuzi hayakufanywa na Mbowe yamefanywa na kamati kuu ya CHADEMA. Mtatawaliwa na ccm kwa muda mrefu kuliko nchi nyingine yoyote Afrika, sasa ni miak 60 madarakani pengine bado 40.Baada ya muda mrefu kuona muelekeo wa CCM haukuwa mzuri japo kuwa kipindi hiki cha awamu ya 5, naona mabadiliko makubwa kidogo nje na hayo mapungufu mengine. Mbowe amechemsha, nimeamua kuwadharau Chadema kwa kukubaliana kirahisi na maamuzi ya mwenyekiti wao, kwa maana hiyo mwenyeketi akisema jambo basi ni sawa, watu hawapewi hata warning letter, watu hawapewi nafasi nyingine ya kujitetea.
Itikadi ya chama, jina la chama, haliendani na uhalisia wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Chama kina prove failure, kwa kutokujua hata maana ya demokrasia, mwenyekiti na watu wake wote hamna kitu.
Ninapata ukakasi kufanya imagination ya endapo mmepata nchi. Msiniambie mtafanya maendeleo zaidi ya haya ya awamu ya 5 au na ninyi ndio walewale waongea maneno mengi kuliko vitendo.
chadema ni chama chenye uchu wa madaraka, chadema wanapokea watu kutoka CCM, waje kuwa viongozi kwa vile wameshindwa kule CCM wanakuja na huku chadema kujaribu baati zao, chadema kimekuwa chama cha kuchezesha baati na sibu dhidi ya viongozi walio shindwa kutoka katika chama cha CCM, Lowasa, sumaye NK. CHADEMA ni one man fight, akishapata anawapiga chini, miaka nenda rudi, mbowe yeye pekee ndiye mwenyekiti wa chama.
Hivi mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa au amejichagua, mbona kama dectator hivi? Design kama hataki wengine washike wadhifa, alafu design kama neno lake ni sheria, hapana, ni uhuni huu sasa.
Nipo njiapanda, sio CCM wala Chadema kwa sasa.
nikae wapi? mimi sio zuzu, kila jambo ndio mzee!Andiko lako tu linakutambulisha kuwa wewe ni mwana ccm. Kaa huko huko ccm, waache chadema na chama chao. Unadhani huko ccm hawafuati maelekezo ya mwenyekiti wao? .
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka mtu awe chama Fulani alafu afanye atakavyo dunia nzima hakuna chama Kama hichoHakuna anayeweza kuwa mwanachama was chama fulani bila kufuata agizo la chama. Ukienda kinyume na maagizo ya chama utafukuzwa tu.
wanakuja wakina lowasa,wakina sumaye, wanakuja kujipatia uongozi kirahisi yaani, alafu wakiona vipi wanajiondokea zao, hapo nani hana akiri?Je wewe kunaunachokijua zaidi? Hapa tatizo ni mwenyekiti tu kuwa firm hakuna jingine mnalo jua ndio mana kila hoja ni Mbowe Mbowe na mlishasema chama kimekufa sasa inakuaje mnahangaika na chama kilichokufa hamlali hampumui na ndio mana mkataka kupenyeza mwenyekiti awe Mwambe au Sumaye ili ajenda zenu za hovyo hovyo zipite kama mtakavyo!!!!ukipenda kusifiwa pia kubali na kukosolewa tu
Siyo DUGRII ni "digrii"kwa hiyo DUGRII yako, kwanini usipeleke kijijini kwenu wakatumie hata kuchambia.
unafikiri chama cha mbowe kikipata nafasi kitakubari kutoka madarakani? tena mbowe anaonyesha dalili za u dictator mapema!Watanzania siku zote ni dhaifu kwa ujumla wao na ni wepesi sana kuyumba. Angalia hata wabunge wengi walivyoyumba mwaka jana, watu hawana msimamo na rahisi sana kuwapuliza. Maamuzi hayakufanywa na Mbowe yamefanywa na kamati kuu ya CHADEMA. Mtatawaliwa na ccm kwa muda mrefu kuliko nchi nyingine yoyote Afrika, sasa ni miak 60 madarakani pengine bado 40.
Maamuzi ya kamati kuu ya CDM sio ya mwenyekiti muwe mnatumia akili zenu au ndivyo mlivyotumwa na ccm?unafikiri chama cha mbowe kikipata nafasi kitakubari kutoka madarakani? tena mbowe anaonyesha dalili za u dictator mapema!
muandikosipo hapa kushindana muandiko nipo hapa kuwasilisha maana, ni kama vile tusivyo ongea kiswahili fasaha, wewe mwenyewe masikini tuu, unapiga mikelele hapa!