Nilikuwa nina muelekeo fulani upinzani lakini kwa haya nimewadharau kabisa

Baati???mara mbili?πŸ–πŸ–πŸ–πŸ–
 
Nilikuwa nina muelekeo fulani upinzani lakini kwa haya nimewadharau kabisa
Pole mkuu! Naona ulionyesha dhamira kuwadharau wengine, bahati mbaya 'muandiko' wako umekuponza na umejikuta wewe ndio unayedharauliwa. Funga uzi, jipange vizuri, yawezekana ukawa na hoja, ila imefunikwa na upeo wako
 
Pole mkuu! Naona ulionyesha dhamira kuwadharau wengine, bahati mbaya 'muandiko' wako umekuponza na umejikuta wewe ndio unayedharauliwa. Funga uzi, jipange vizuri, yawezekana ukawa na hoja, ila imefunikwa na upeo wako
meseji sent
 
ukiwa shuleni kuna makosa ambayo 1.hupewa adhabu ndogo na kuna makosa ambayo humfukuzisha mwanafunzi shule moja kwa moja.

2.Ukiwa kazini kuna makosa ambayo ukifanya utapewa ony0/maonyo na kuna makosa ukifanya yanakifukuzisha kazi moja kwa moja bila onto/maonyo

CHADEMA au chama chochote vinaishi kwa Sera,falsafa,miongozo,kanuni mbalimbali ambazo kila mwenye kujiunga unatakiwa ukubali kuvifuata.
Haihitajiki kuwa na watu wasiotii maagizo ya chama,huo no utovu Wa nidhamu na kama yangefumbiwa macho basi hicho kisingekuwa chama cha siasa Bali kijiwe cha wahuni.
Niambie chama gani hakijawahi kuwafukuza wanachama wake kwa utovu Wa nidamu? Sophia Simba, Emmanuel Nchimbi,Benard Members na wengine si wameishawahi kuwa wahanga Wa kufutwa uanachama CCM (Japo wengine walirejeshwa).

Chama kinapoamua kufanya maamuzi ambayo kinaona ni yenye tija basi kiachwe kifanye hivyo.Mwanachama akiona hajatendewa haki kuna utaratibu Wa kufuata ndani ya chama kupinga kuonewa huko.Hizi kelele mnapiga nyinyi watu Wa nje hazina tija yoyote.

vyama vya siasa ni Taasisi.
 
pumbavu nini, wewe mjuaji ndio umeandika DUNGRII, alafu unakuja kukosoa hapa,wewe mwenyewe kayumba!
Mistake yangu ni typo au smartphone text prediction. Ya kwako ni makosa ya silabi na isimu ambayo hata wa darasa la saba hatarajiwi kukosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…