Nilikuwa sahihi kwa huyu kocha uchwara Pep Guardiola

Pepsi anaendelee kudhihorisha ukanjanja wake


Alie elewa nini kikimfanya aende fainali bila striker na Dm ni nini aje aniambie
Kikosi kilileak kabla ya fainali, mashabiki wa City walivyosikia tu wakaanza ku mind,

Kifupi mara nyingi pep akijaribu kuwa smart na kubadili mfumo anafungwa.
 
Kocha wa kawaida kisa hajachukua uefa na mancity?
Angalia rekodi yake na kufika fainali na mancity sio ishu ndogo plus anazo hizo medal 2 tayari...
 
Jamaaa ni kocha bora aseee, hata kama hawezi chukua champions league na timu nyingine hiyo haifich ubora wake. Sawa anatumia pesa nyingi ila kama zipo tumia. Angalia hii picha then utajua the guy ni good coach... Kingine hamna kocha ambae hataki kusajili mchezaji wa bei ghali wanachotofautiana ni uwezo ni kifedha kitimu na bajeti za usajili so kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.
 
Tabia ya kujisifia umasikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…