Nilikuwa sahihi kwa huyu kocha uchwara Pep Guardiola

Nilikuwa sahihi kwa huyu kocha uchwara Pep Guardiola

Hii Buyern inateleza, si kwa sababu ya pep , Tokea Pep aondoke umeona Buyern imebadili makocha Mara ngapi. Na imemrudisha Yule Babu Mara ngapi. Acha mapenzi kwa Pep. Be fair utajua Mpira.
Buyern inachukua Uefa 2013 ilikuwa ni yamoto, lakini Pep aliipoza na kuiharibu kabisa mpaka anaondoka timu ikakosa mwelekeo kabisa.
Buyern inaperform sasa kwa sababu kocha wa sasa ni miongoni mwa makocha bora.
Hahaaa.... Sawa mkuu ndio maana nimesema I stand to be corrected lkn kawaida investment ku payoff inachukua muda..... Bado naona mkono wa Pep ni mkubwa sn ktk kubadilisha falsafa ya soka la Bayern...... Km unakumbuka soka la Bayern Hakukua la ticktaka km tunavoona leo..... Tulizoea soka la fujo mabuti lkn kwa sasa imetawala kampa kampa tena

Pep anamkono wake pale mkuu apewe heshima yake
 
1601228989718.png
 
Pepsi anaendelee kudhihorisha ukanjanja wake


Alie elewa nini kikimfanya aende fainali bila striker na Dm ni nini aje aniambie
 
Hata Mimi Nakubali Pep ni top Coach ila huwa Napinga sio Legendary/Goat kama watu wengine wanavyotaka kutuaminisha.

Kwa miaka kadhaa hii kujibu swali lako hawa wananijia Akilini.
-Zidane
-Tuchel
-Conte
-Klopp
-Simeone
-Pep etc

Top 5 yangu Pep pengine yupo, Ila Top 3 Ni Klopp, Conte na Zidane kwa Muono Wangu.
Mourinho hamna?
 
Back
Top Bottom