Nilikuwa sahihi kwa huyu kocha uchwara Pep Guardiola

Hahaaa.... Sawa mkuu ndio maana nimesema I stand to be corrected lkn kawaida investment ku payoff inachukua muda..... Bado naona mkono wa Pep ni mkubwa sn ktk kubadilisha falsafa ya soka la Bayern...... Km unakumbuka soka la Bayern Hakukua la ticktaka km tunavoona leo..... Tulizoea soka la fujo mabuti lkn kwa sasa imetawala kampa kampa tena

Pep anamkono wake pale mkuu apewe heshima yake
 
Pepsi anaendelee kudhihorisha ukanjanja wake


Alie elewa nini kikimfanya aende fainali bila striker na Dm ni nini aje aniambie
 
Mourinho hamna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…