Anayesema mitano tena sio ng'ombe ni Watanzania na hicho ndicho wanachokwenda kufanya in less than 10 hours to come.
Kwa sasa, endelea kuita ng'ombe, kesho baada ya matokeo, tutaheshimiana tuu.
P
Majibu yako yanaonyesha umetingwa, wanamuweza mbona wameshindwa kuizima Jf? Na hebu soma comment humu hasa za kuanzia July 2020 uone meko anavyopigwa mikuki humu. Hakuna an wala bin.Melo wanammudu! Akijaribu na wameongea nae kwa kina kwamba asiruhusu mtandao wake uwe sehemu ya kueneza propaganda. Ndio maana ukiposti ujinga unakula ban na ujinga wako unafutwa.
Hawana hoja kila siku wanakimbilia kwa Robert wanajisahaulisha kuwa ni wao waliompeleka Ubelgiji ...Uko mkoa gani ili kesho tunywe kinywaji ukitakacho na kula at my cost? Waambie hao book jero wanasumbua hapa Mkuu. Wavivu kufikiri sana hawa. Ushindi wao wa mabavu tu. Yaani wana hofu kubwa
Vipi kwenda Birmingham na Gwajiboy kuna makande kuleMimi na washindia kande wenzangu tunasema nyie wala hamburgers wa ubelgiji mkampigie kampeni hukohuko kwenu
Heri tujilie makande yetu kuliko hamburgers za kuturudisha utumwani
Uliwahi kuchagua Dkt. Slaa kuwa Rais? Au unaongea tu kwasababu hayupo tena upinzani, Kama Lissu akishindwa akija mwengine bila shaka utasema mpinzani alikuwa LissuSana namchukia sana huyu kibaraka!
Na siyo mimi tu watz wengi sana wameahirisha kumpigia kura sababu ya ujinga wake wa kumajiri Amsterdam mbelgiji awe anaingilia mambo ya ndani ya taifa letu.
Mpinzani akikuwa Slaa siyo hawa vibaraka wa sasa hivi.
Mama mbona upo utumwani tangu utumwa ulipoanza!!? Hujui kumbe!??Mimi na washindia kande wenzangu tunasema nyie wala hamburgers wa ubelgiji mkampigie kampeni hukohuko kwenu
Heri tujilie makande yetu kuliko hamburgers za kuturudisha utumwani
Nani kakwama huko telegram nenda kanunue wapobinafsi taarifa fake za mitandaona hua zinanikera maana nashindwaga kujua ukweli mi ni upi.
JF nyie mmefanyaje mko hewani tu japo kwenye telegram mumekwama...
Ha ha ha haaaaa ... si mlisema kura hazipigwi mitandaoni kulikoni tena wenzetu mmetuzimia mawasiliano yaani mnahaha ham hamtulii ha ha ha ha haaaaa Lissu kajua kuwati Dol# la katiHuu uwongo wa Chadema mwisho wao ni October
Ukitaka kujua hajui hata nafasi ya Uraisi inaheshimika ipi hata waandishi wamempuuza sana ni bora hata Umpe airtime Salimu Mwalimu kuliko Lissu full kutukana na kusema uongo, nimecheki UTV leo kuna mzee akalisema hilo kuwa bora ya Mwalimu na mimi nikamuumga mkono.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni yeye kibaraka!
Lisu hajui siasa ni mwanaharakati ndio maana kupanda jukwani na kina Ponda ambae vyombo vga usalama vinamlia darubini 24 hours yeye haoni shida.
Kumtumia Amsterdam raia wa kigeni kumsemea juu ya mambo ya uchaguzi wa nchi ambayo siyo yake haoni shida.
Kwenda Zanzibar na kusema chadma haina maslahi na Zanzibar haoni shida. Kisha anataka awe rais wa mungano na anategemea vyombo vya usalama vimpe sapot.
Bure kabisa.
Nikanunue nini yaani ?Nani kakwama huko telegram nenda kanunue wapo
Mkuu utawalaum bure. They are targets.Nimesikitishwa kitendo cha star TV kukata matangazo ya BBC kisa tu walikuwa wanatoa taarifa ya mauaji ya watanzania wenzetu yaliyotokea leo huko zanzibar. SHAME ON YOU STAR TV kipi mnachoficha
Haters mtakoma mwaka huu.Ukitaka kujua hajui hata nafasi ya Uraisi inaheshimika ipi hata waandishi wamempuuza sana ni bora hata Umpe airtime Salimu Mwalimu kuliko Lissu full kutukana na kusema uongo ,nimecheki UTV leo kuna mzee akalisema hilo kuwa bora ya Mwalimu na mimi nikamuumga mkono.
Hapo ulipo tu unatumia vpn kwa sababu ya mkoloni mweuzi leo kakunyosha na bado hujitambu. VPN unayotumia ndio ya hao mabeberu. We kweli ni Lofa in Mkapas voice.Mimi na washindia kande wenzangu tunasema nyie wala hamburgers wa ubelgiji mkampigie kampeni hukohuko kwenu
Heri tujilie makande yetu kuliko hamburgers za kuturudisha utumwani
Naona mnaanza kuchanganyikiwa mapema [emoji2957]Kanunue 'yaani'
Nasikitika kuona kuwa kumbe hujui waandishi wote na vyombo vyao wametishwa na wanazidi kutishwa na kusukumwa kutorusha matangazo ya TL kwa upana.! Sikudhani km kuna mtumiaji wa JF hajui hilo. Pole sanaUkitaka kujua hajui hata nafasi ya Uraisi inaheshimika ipi hata waandishi wamempuuza sana ni bora hata Umpe airtime Salimu Mwalimu kuliko Lissu full kutukana na kusema uongo ,nimecheki UTV leo kuna mzee akalisema hilo kuwa bora ya Mwalimu na mimi nikamuumga mkono.
Sawanaona mnaanza kuchanganyikiwa mapema [emoji2957]
Mam mbona upo utumwani tangu utumwa ulipoanza!!? Hujui kumbe!??
Ona hapa sasa:
[emoji117]Dawa za magonjwa makubwa zote tunategemea kwa mabeberu na tunapewa bure
[emoji117]Pesa za mirandi mikubwa zote tunakopa kwao
[emoji117]Nusu ya bajeti yetu inategemea misaada ya mabeberu
[emoji117]Vifaa tiba vingi kama sio vyote tunategemea kutoa kwao
[emoji117]Experts wa afya tunawategemea wao
[emoji117]Mafunzo ya ulinzi na usalama ya ngazi ya kati na ya juu tunapewa na wao
Sasa sijui unataka utumwa gani tena zaidi ya huo