Uchaguzi 2020 Nilikuwa siamini, sasa nimeamini uchaguzi huu ni muhimu sana

Nilidhani shida iko upande wangu tu. Hakika huu ni uwoga wa kiimla kabisaa
 
Hapo ulipo tu unatumia vpn kwa sababu ya mkoloni mweuzi leo kakunyosha na bado hujitambu. VPN unayotumia ndio ya hao mabeberu. We kweli ni Lofa in Mkapas voice.

Sina hata hiyo vpn.
 
Ameambiwa na watu wake kwamba hatoambulia hata 40%
 
Kwa maslahi mapana ya Taifa utaelewa baada ya uchaguzi
 
Anayesema mitano tena sio ng'ombe ni Watanzania na hicho ndicho wanachokwenda kufanya in less than 10 hours to come.
Kwa sasa, endelea kuita ng'ombe, kesho baada ya matokeo, tutaheshimiana tuu.
P
Hao Ni ng'ombe ,ukiwemo na ww pia Ni ng'ombe ,unajipendekeza had aibu ,ndio maana magu alikuita njaa kumbe anakujua vema kuwa una njaa Kali Sana .

Credibility yako imeshuka vibaya mno na kwa kuliona Hilo umeamua ujianike Waz kuwa Bora tu uendelee kuwa fala ,na nasema hivi ww Ni fala mmoja wa kisukuma mwenye njaa Kali had makalioni.

Na ikimpendeza mungu huyo magu asikupe hata u dc unaoutaka kwa nguvu zote
 
Kushabikia upande anaotaka ndio kukosa akili?
Anashabikia baada ya kupewa makavu na kuwekewa vikwazo na aliemuuliza swal la kumkomoa mbele ya kamera ,Sasa ameona Bora awe muimba kwaya
 
Nasikitika kuona kuwa kumbe hujui waandishi wote na vyombo vyao wametishwa na wanazidi kutishwa na kusukumwa kutorusha matangazo ya TL kwa upana.! Sikudhani km kuna mtumiaji wa JF hajui hilo. Pole sana
Unasikitika nini huoni hata kuna waandishi walitia nia na Wanamrusha Queen Sendiga kuliko Lissu ,sasa wewe unaitisha mkutano hata mwandishi anashindwa kutoka na Eangle maana ni Personal Attack

Mfano.Juzi kasema Live kuwa Raisi ndie katekeleza shambulio lake wewe hapo kwa weledi wako utaweka hewani tu bila kubalance na hata ukibalance IGP kashasema mara ngapi dereva wake aletwe bongo

Pili kasema huko kusini kuna watu zaidi ya 400 wamekufa na sehemu zingine za nchi lini ulisikia kuwa kuna watu 400 wamekufa mimi leo ndio nimesikia na kibiti wakati watendaji na wenyeviti wa CCM ndio wahanga ikiwemo na Police wenyewe sasa watajipiga risasi wakati upinzani inaamini Police ni mali ya CCM.

Hayo yote anayaongea hakuwepo nchini kasimuliwa na hajui kama hajui ngoja kesho ukisikia 3/4 ya wabunge ni CCM basi jua Rais ni Magufuli

Mungu nipe uhai kesho nikampe kura Jemedar Amir Jeshi Mkuu wa Tanzania.
 
Mwanga na shetani hawakai zizi moja...lakima moja aondoke/atolewe ili mwingine aweze kutamba.
 
Sio kwa mapovu ya leo haya maisha bwana uchaguzi upite tu tuendelee na mambo mengine.
 
Wamefanya kampeni miaka mitano wenyewe,, juzi napita sehemu kuna daraja lina ma picha ya mgombea wao upande mmoja ziko ka 30 picha za mtu mmoja🤣 same upande mwngne ...afu wanajita ni serikali ya wanyonge .. CCM ni ovyo
 
Hivi Mwanakijiji na Pascal Mayalla wote wasukuma eeh?
 
Nimegundua kuna mambo mengi unayasikia ila hujataka kuyajua.
Mungu akizid kukupa uhai, jitahidi kuwa mdadis wa mambo hasa ya nchi.
 
 
Wamepanga kuiba kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…