Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

mkuu wewe ni mwandishi msomi
unajua maana ya kujenga hoja kwa vielelezo !
nikuulize swali !
Katika ile special crew inayomlinda mfalme, unawatambua wangapi ? ni wangapi umeutafiti uraia wao kwa mujibu wa Tanzania Immigration Act No.7 ya 1995 na ukagundua ni watanzania na ukapata huu ujasiri wa kukanusha mbele ya wajuzi ?
Utajisikiaje tukikuletea majina ya ile crew na uraia wao ukakuta umedanganya kwa kukanusha usichopata kukitafiti ?
 
Naamini Mungu ndiye mlinzi wangu tosha. Iweje naingia ndani ya nyumba ya ibada huku nimeva hirizi. ? Why Vatican Popes are protected by Swiss soldiers over decades invece gli Italiani?
 
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Makini biashara ingeshamiri, wastaafu wangelipwa, haki ingekuwepo unazungumzia umakini Wa Bunge kusema kunavifungu hawajaviona
 
Sema ni tetesi tuu auwez ukamjaji mtu kwa muonekano wake au anavyoongea au anavofanana umbo lake
najua hata wewe ukiambiwa uthibitishe utashindwa so ni vizuri tukiziita ni tetesi tuu

ila lisemwalo lipo kama halipo basi laja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…