Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Pili sio kila ukweli unaousikia ni lazima uuseme, ukweli mwingine, unasikia na kumezea au kukaushia tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pili sio kila ukweli unaousikia ni lazima uuseme, ukweli mwingine, unasikia na kumezea au kukaushia tuu.
Pasco inamaana umegoma kabisa kutoa makala inayohusu mafao ya wastaafu au nini tatizo mkuu tuambizaneWewe Britannica wewe, Katto akikusikia, shauri yako.
P
Kwa nini malipo yasingekuwa mapato ya kutoka Geita au Chato?Mkataba wa Malipo ni huko Mererani na ndio maana hata SIEJi haruhusiwi kukagua.
Mkuu hatari tuishie hapaTaarifa nyingi za mleta thread huwa naziamini zaidi ya 99%..... Tulisha ingizwa kingi
Uchumi wa Tanzania ulipo unasikitisha sana
Huyu ISIS ni Jinsia gan kwanMbona umebadilika sana siku hizi, kulikoni?
Mchana Ccm Usiku Chadema 😃😁😂Nani kasema kwamba ni Tz?
Kato Machalila au Kato yupi? Mbona siwaelewi jamani?Wewe Britannica wewe, Katto akikusikia, shauri yako.
P
Kwani unajua katto wangapi mkuuKato Machalila au Kato yupi? Mbona siwaelewi jamani?
mkuu wewe ni mwandishi msomiMkuu Britannica, kwanza usiamini kila unachosikia, kuna vingine ni kweli na vingine si kweli, mfano hili la kulindwa na jirani, sii kweli.
Pili sio kila ukweli unaousikia ni lazima uuseme, ukweli mwingine, unasikia na kumezea au kukaushia tuu.
Swali la Morality: Je ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? - JamiiForums
P
Unawaamini kwakuwa wao ni hodari sana kwa kumenya Vigo na kujenqa ukuta...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Kama ni kweli basi hatuko salama hata kidogo mkuuEndelea kujiongopea, mimi nitakuletea hadi majina yao na kambi waliyotoka huko wapi siujui mnaita!!
...ahahahaaaaUnawaamini kwakuwa wao ni hodari sana kwa kumenya Vigo na kujenqa ukuta
Wewe uko wapi? Ni habari za kweli zilizowazi kabisa. Walificha ficha baadae wakaona potelea mbali.Kama ni kweli basi hatuko salama hata kidogo mkuu
Hakuna wanajeshi pale kuna warukavichurachuraMkuu mambo yanasikitisha sana haya, sijui hawa wale wanajeshi wa Guam wanajionaje?
Ni demuHuyu ISIS ni Jinsia gan kwan
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Makini biashara ingeshamiri, wastaafu wangelipwa, haki ingekuwepo unazungumzia umakini Wa Bunge kusema kunavifungu hawajaviona...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama