Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Acha uzushi hao vijana wanafahamika na wazazi wao tunao na likizo wanakuja usipotoshe tunawafahamu na wanatufahamu wamesoma na watoto wetu wote ni niwa Tanzania
 
Wewe Britannica wewe, Katto akikusikia, shauri yako.
P
Halafu cha kusikitisha hiyo Nchi ya Guam ina wanajeshi wake wanalinda amani kule Vietnam kupambana na Waasi na hao waasi wanapewa nguvu na Silaha na kiongozi wa nchi iliyotoa ulinzi kwa huyo kiongozi wa Guam na inafikia hadi wanajeshi walindao amani kule Vietnam wanauawa kila mara na hao waasi wanapewa nguvu na hako kanchi kanakomlinda huyo kiongozi wa Guam
 
Hakikaa
 
Kama hujui kitu uliza, kuuliza siyo ujinga. Hadithi za vijiweni zibaki huko huko ili ulinde heshima yako uliyojijengea JF.

Mada zako siku hizi zina harufu ya chuki ya wazi ikimaanisha ni mmoja wa hao waliokuwa wakifaidika na usimamizi mbovu wa sheria za nchi hii.

HAKIKA NAMBA mnaisoma sasa. Mtabaki kulialia humu JF tu, maana hamna mnaloweza kufanya. Kama mlikuwa na mawazo ya kumwondoa madarakani, nje ya utaratibu wa kura, imekula kwenu, Mkuu.
 
Mbona hii haihitaji tochi!!
 
Haya mapovu yanatosha kufua maturubai 20 ya chama.
 
Aisee nimelipenda neno " Guam" tuu
 
Hapa anaonja raha! Si anaona wale wa kwake anapowakodisha wakatumike na wa huko wanafaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…