Fulema Nangwa
Member
- Jul 27, 2017
- 79
- 46
Acha uzushi hao vijana wanafahamika na wazazi wao tunao na likizo wanakuja usipotoshe tunawafahamu na wanatufahamu wamesoma na watoto wetu wote ni niwa TanzaniaNimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam