Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Umeongea kweli mkuu ata mie kuna mrugaruga mmoja hivi niliwahi kumsikia juu ya issue na sikuamini na sitokuja kuamini lakini sikuona sababu ya kuuleta hapa jamvini.
 
Sidhani Kama protocol zinaruhusu raising alindwe na Raia au ulinzi binafsi achilia mbali wanajeshi toka nje ya nchi. Haiwezekani
 
s umeandika nini au guam ni mkeo maana hutaki kuelez watu wajuwe
 
Hakika mfalme wa Guam anaungwa mkono hadi na wanajeshi wa nchi jirani,akianza kuungwa mkono na 'TRA' za nchi jirani ndio ndoto yakuwa donor kantri itatimia, Guam itanogah!!
 
Taarifa zako huwa naziamini 100%,hata mimi nalijua hilo siku nyingi sana,kifupi ni kwamba hiyo nchi ya Guam ipo mikononi mwa Mr Slim, kiongozi wa jamhuri ya wamwaga damu,niliwahi kuleta Uzi hapa juu ya hatima ya nchi ya Guam mods wakaifuta,Mr slim hatimaye kafanikiwa lengo lake, hatimaye Bahima inakaribia.
Sasa utasema kuna usalama wa taifa hapo au matako ya taifa? Utaruhusuje jeshi la nchi jirani likulinde?
Ina maana hawaamini wanajeshi wake ndo maana anawadharau sana hadi kuwabebesha mazao na kuwageuza mgambo wa kulinda maduka,sijui kwanini wanamchekea mfalme juha huyo.
Kuna Nabii wa Uganda alitabiri mwisho mbaya wa mfalme wa Guam
 
NAHISI
Maana napo kuna vita yakiuchumi...
Wafanyabiashara sio watu wazuri. ...wakishirikiana na wanasiasa wahujumu uchumi wenye mizizi hadi kwenye vyombo vya ulinzi na usalama dawa yao nikukata milija ya Ikulu tu.
Hawa wakiamua kwani hao walinzi wa mfalme wachache wataweza?
 
Mkuu embi shusha points hapa.
 
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Wale wakwake hawaamini ameona awachukue wa asili yake ukizingatia ni role model wake.
 
Sawa tu acha alindwe na wanajeshi wa kisiwa jirani,wale wa Guam ni dhaifu sana.

Ila mkuu embu tupe chanzo cha hii taarifa yako.
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…