Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,503
- 13,463
Umeongea kweli mkuu ata mie kuna mrugaruga mmoja hivi niliwahi kumsikia juu ya issue na sikuamini na sitokuja kuamini lakini sikuona sababu ya kuuleta hapa jamvini.Mkuu Britannica, kwanza usiamini kila unachosikia, kuna vingine ni kweli na vingine si kweli, mfano hili la kulindwa na jirani, sii kweli.
Pili sio kila ukweli unaousikia ni lazima uuseme, ukweli mwingine, unasikia na kumezea au kukaushia tuu.
Swali la Morality: Je ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? - JamiiForums
P