Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,803
- 1,601
Ha ha ha unaibiwa kuwa macho na kaa chonjo my dear ooohh sory nimesahau
Litanikoma aisee kuanzia sasa nataka liniite jina langu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha unaibiwa kuwa macho na kaa chonjo my dear ooohh sory nimesahau
Ha ha ha nakuja next week nitazikuta (halafu leo una mapointi hukunywa chang'aa jana nini??)
Matapeli wa mapenzi hao..
Katika hali ya kawaida kama huyo ni mpenzi pekee waweza mchanganyia majina...mara lake..mara darling...mpenzi...babez...mume wangu...mke wangu... yote kuendana na mlipo pamoja na mood!
hahahaha umeanza zako swit teh teh teh ngoja niwahi TAIFA chama langu linacheza leo pale pembeni kuna Masai bar beer za ple balaa pamoja na maini
Sante kwa kunipa tarifa ujue hata nilikuwa sijui kama kuna sabasaba jamani napamiss TZ dah wajameni Nyumbani raha sana haya utanipa matokeo lakini ni timu gani na gani ndo zinacheza leo
Mi 7 7 siendi kiingilio 2500 wkt hapo unakunywa safari lager na kiloba au vodka
Mi najienda shamba la bibi pale kisha nazama Taifa chama langu hulijui? Yanga v/s Bunamwanya
nagalia sasa! ushawafundisha mbinu ya kucheat.Habari zenu wapendwa wa MMU!!!
Jana nilikuwa napata Lunch maeneo fulani hivi nikiwa na mfanyakazi mwenzangu wakati tukiendelea kupata chakula meza ya karibu na sisi kulikuwa na wasichana watatu nao wanapata chakula............tukasikia:
Msichana wa kwanza: Mmmhhh we......akataja jina wewe mbona kila mwanaume wako wamuita Darling??? Maana huyo sio.....alitaja jina
Msichana aliyeulizwa swali: Akasema wewe j...akataja jina yaani wewe unafanya mchezo kweli niwaite kwa majina niumbuke?? Badala ya kusema .....akataja jina.... niseme....akataja jina.....hiyo haiwezekani nikiita kila mtu Darling hakuna atakayeshituka lakini mambo ya kuitana majina NOOOOOOOO ....................Etii ooohh John, Musa, Isaack siwezi mie wote ni Darling kwisha..................
Nauliza swali hivi kumbe hii ndo mbinu ya kivita unaita Darling, My Love, Baby, na mengine mengi ili kupotezea ukware ha ha ha ha mie nilikuwa sijui hili wajameni santeni sana enjoy your weekend wapendwa. Me Love You........................
DA
Kumbee mie liniiitaga mama huwa naliambia liniiite jina maana sijalizaa @ lisinikomazee
HAKUNA NISICHOPENDA KAMA KUITWA MAMA NA MPENZI/MUME WANGU,
HIVI WEWE UKINIITA MAMA NA WATOTO WETU WANIITE NANI?,
SO SIRI SIPENDI SANA KUITWA MAMA NA MTU ANAYENIJUA NJE NDANI.
WAACHIE WANANGU TU AU WATOTO KWANGU NDIYO WANIITE MAMA LAKINI,
SIYO WEWE MKUBWA MWENZANGU TUNAOFAHAMIANA KWA UKUBWA WETU ETI UNIITE MAMA, INANIKERA SANA.
ILA HIYO YA kuniita DARLING KUMBE UNANIITA ILI KUFICHA UKWARE WAKO, NAYO mmh!! inachefua....,
Endelea tu kuniita jina langu lisilochuja mpaka mwisho wa uhai wangu......
Nani kakwambia ni wanawake tu mbona hata wanaume hiyo tabia wanayo? Chezea mmbongo wewe, kwenye jina hata jinsia utabadilishwa!!yaani mnacheza na akili zetu nyie watoto wa kike... shwaiiinnnn
mmh Dena...ulikuwa hujui? Usinambie ka we uko more advanced zaidi!!Habari zenu wapendwa wa MMU!!!Jana nilikuwa napata Lunch maeneo fulani hivi nikiwa na mfanyakazi mwenzangu wakati tukiendelea kupata chakula meza ya karibu na sisi kulikuwa na wasichana watatu nao wanapata chakula............tukasikia:Msichana wa kwanza: Mmmhhh we......akataja jina wewe mbona kila mwanaume wako wamuita Darling??? Maana huyo sio.....alitaja jinaMsichana aliyeulizwa swali: Akasema wewe j...akataja jina yaani wewe unafanya mchezo kweli niwaite kwa majina niumbuke?? Badala ya kusema .....akataja jina.... niseme....akataja jina.....hiyo haiwezekani nikiita kila mtu Darling hakuna atakayeshituka lakini mambo ya kuitana majina NOOOOOOOO ....................Etii ooohh John, Musa, Isaack siwezi mie wote ni Darling kwisha..................Nauliza swali hivi kumbe hii ndo mbinu ya kivita unaita Darling, My Love, Baby, na mengine mengi ili kupotezea ukware ha ha ha ha mie nilikuwa sijui hili wajameni santeni sana enjoy your weekend wapendwa. Me Love You........................DA