Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mwanamke?[emoji849] Mbona kama dumeMtotom akichezea infinix yangu mpya....View attachment 1975345
Mmmh hayo mazingira yanatisha asee[emoji848][emoji848]Gheto jipya hilo sio mkuu??..hahaha
Usisahau tu ndomu mkuu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mmmh hayo mazingira yanatisha asee[emoji848][emoji848]
Ningekuwa mimi nisingeanza na kumbato K, ningetengeneza geto langu kwanza liwe kali mweeh[emoji134]
Teh teh teh teh...😂😂...hii kali haaa haaaa...😂😂😂Aseee kweli nimeamini watanzania wengi ni tunaumwa japo twajiona tuko na utimamu
...Makamanda wengi hukumbuka hili baadae sana...japo ni muhimu kuanza nalo.Hahahah anatakiwa acheze kama pele! Kwa tabu nilizopitia ningeanza na kuwekeza kwanza aisee very soon as possible!
HahahaZamani kipindi nimepigika nilikuwa kutwa kulalamika jinsi Serikali imetubania ajira na jinsi mademu zetu wanavyotuomba hela wakati utamu tunapata wote nikawaga VIP wa chaputa.ila baada ya kushika pesa na kushauriwa na ndugu yangu Darmian nisiwe mbahili kama kweli nataka tobo nikaufanyia kazi ushauri wake.aisee kweli bhana hio mbinu kumbe inafanya kazi kwa asilimia zote..maneno mengi ya Nini wewe weka dau lako bila kuhonga utachokwa mapema sana. Evelyn Salt kuanzia sasa nakuunga mkono tuwapeni hela mtupe nyama hio tuchetuke kidogo.Jamani mdogo wenu Niko makini nawaahidi nitatumia mpira kwa kila tendo sitaki habari za kuambiwa sijui mimba nilee mtoto sitaki hizo.sitaki majukumu yoyote naona tu raha ndani ya sofa kwa chini iwepo pesa 200000,ukienda kwenye mto hukosi 170000..m pesa 310000,,halopesa 100000....NMB 600000 Raha sana.prostate cancer byebye.
Du Kaka utakuja Tena kujuta hapa..mwanamke na hela n balaaa zito..Kama la delila na samson..
HahahaHuyu sijui niiteje ndo Kama wale wanao win mkeka beti wanasumbua mtaa mzima
Ama mtu anapata jiwe anauza like 700M+ afu Ana wehuka Fulani. Anapanda ndege Dubai wapi dar anagonga stars wote Mara ghafula hela inakata hata hajaenda zenj na Ibiza aka Maldives.
Yaani ni Kama hajawahi onja so Leo akapata lazima masikini matako yalie mbwata