Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Waingereza wanasema "No good deed goes unpunished".Kwa nia njema ya kujumuika tena na wanangu wa sekondari. Safari hii ilikuwa kupitia WhatsApp group.
Halikuwa tofauti sana na magroup mengine, mambo yalikuwa ni yaleyale tu, kusaidiana kwenye shida na raha. Tuliweka mkakati mzuri wa kusaidiana kwenye misiba na ugonjwa.
Kosa nililofanya ni kuwa kinara wa kuchangia. Niliona ni sehemu nzuri ya kuwasaidia washkaji ambao wengi wao hawakuendelea na masomo. Kwa hiyo ikawa kama members watachanga laki basi mimi naongeza laki nyingine ili mchango ukasaidie mwenye changamoto.
Hili lilikuwa ni kosa, badala ya wadau kunichukulia kama mwenye moyo wa kutoa wao wakaona kama ninazo za kugawa tu. Sms za kuombana hela zikawa nyingi. Bahati nzuri mimi ni mtu niliyenyooka mara nyingi nilijibu sina. Wale wasumbufu sana nikawa sipokei simu zao.
Mwisho nikachoka, nikapiga kimya nikawa sichangii chochote kwenye charting za group.
My Take
Tupunguze mizinga kwenye group. Tunawakimbiza watu wazuri
Kumeanza kufuka Moshi.Wewe siyo Abubakar Msambata Masojo?,Kwahiyo kumbe ulitukimbia mwanangu halafu unakuja kutusimanga huku?
Ngoja niwashitue wadau waje waone ulivyo Mkuda!
Kununua hako gari tu sikuhizi unanata kinoma!
Aisee sikutegemea kama hili suala utalileta humu!
Itakuwa yeye maana maelezo yana fanana na shiti zakeWewe siyo Abubakar Msambata Masojo?,Kwahiyo kumbe ulitukimbia mwanangu halafu unakuja kutusimanga huku?
Ngoja niwashitue wadau waje waone ulivyo Mkuda!
Kununua hako gari tu sikuhizi unanata kinoma!
Aisee sikutegemea kama hili suala utalileta humu!
Sawa tajiriKwa nia njema ya kujumuika tena na wanangu wa sekondari. Safari hii ilikuwa kupitia WhatsApp group.
Halikuwa tofauti sana na magroup mengine, mambo yalikuwa ni yaleyale tu, kusaidiana kwenye shida na raha. Tuliweka mkakati mzuri wa kusaidiana kwenye misiba na ugonjwa.
Kosa nililofanya ni kuwa kinara wa kuchangia. Niliona ni sehemu nzuri ya kuwasaidia washkaji ambao wengi wao hawakuendelea na masomo. Kwa hiyo ikawa kama members watachanga laki basi mimi naongeza laki nyingine ili mchango ukasaidie mwenye changamoto.
Hili lilikuwa ni kosa, badala ya wadau kunichukulia kama mwenye moyo wa kutoa wao wakaona kama ninazo za kugawa tu. Sms za kuombana hela zikawa nyingi. Bahati nzuri mimi ni mtu niliyenyooka mara nyingi nilijibu sina. Wale wasumbufu sana nikawa sipokei simu zao.
Mwisho nikachoka, nikapiga kimya nikawa sichangii chochote kwenye charting za group.
My Take
Tupunguze mizinga kwenye group. Tunawakimbiza watu wazuri
Hii statement imekaa kitapeli sana.Jivunie kuwa katika nafasi ya kutoa kuliko kupokea
Abuu kazingua kinoma..ππWewe siyo Abubakar Msambata Masojo?,Kwahiyo kumbe ulitukimbia mwanangu halafu unakuja kutusimanga huku?