Nililinyamazia WhatsApp group la Sekondari kutokana na kuchoshwa na vizinga

Nililinyamazia WhatsApp group la Sekondari kutokana na kuchoshwa na vizinga

Hapana mkuu usichoke pambana tu hilo salaba.. Laki??!! Aah kubabeki!.. Maskani ulikuwa unatuma shingapi?
 
Wewe siyo Abubakar Msambata Masojo?,Kwahiyo kumbe ulitukimbia mwanangu halafu unakuja kutusimanga huku?

Ngoja niwashitue wadau waje waone ulivyo Mkuda!

Kununua hako gari tu sikuhizi unanata kinoma!

Aisee sikutegemea kama hili suala utalileta humu!
dickhead kwanini usinge tunga jina la kigalatia ukapachika hapo
Kwanini utumie la kiislamu au unavinasaba vya udini
 
Back
Top Bottom