M Makebo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2025 Posts 4,343 Reaction score 7,238 Jan 1, 2026 #21 ngara23 said: Jivunie kuwa katika nafasi ya kutoa kuliko kupokea Click to expand... Nyinyi ndio wapiga vizinga wenyewe maana huwa mnakuwa na vimisemo vya kilokole sana
ngara23 said: Jivunie kuwa katika nafasi ya kutoa kuliko kupokea Click to expand... Nyinyi ndio wapiga vizinga wenyewe maana huwa mnakuwa na vimisemo vya kilokole sana
Semeni Bugoke JF-Expert Member Joined Feb 21, 2015 Posts 390 Reaction score 675 Jan 1, 2026 #22 Hapana mkuu usichoke pambana tu hilo salaba.. Laki??!! Aah kubabeki!.. Maskani ulikuwa unatuma shingapi?
Hapana mkuu usichoke pambana tu hilo salaba.. Laki??!! Aah kubabeki!.. Maskani ulikuwa unatuma shingapi?
M Makebo JF-Expert Member Joined Nov 29, 2025 Posts 4,343 Reaction score 7,238 Jan 1, 2026 #23 TUKANA UONE said: Wewe siyo Abubakar Msambata Masojo?,Kwahiyo kumbe ulitukimbia mwanangu halafu unakuja kutusimanga huku? Ngoja niwashitue wadau waje waone ulivyo Mkuda! Kununua hako gari tu sikuhizi unanata kinoma! Aisee sikutegemea kama hili suala utalileta humu! Click to expand... dickhead kwanini usinge tunga jina la kigalatia ukapachika hapo Kwanini utumie la kiislamu au unavinasaba vya udini
TUKANA UONE said: Wewe siyo Abubakar Msambata Masojo?,Kwahiyo kumbe ulitukimbia mwanangu halafu unakuja kutusimanga huku? Ngoja niwashitue wadau waje waone ulivyo Mkuda! Kununua hako gari tu sikuhizi unanata kinoma! Aisee sikutegemea kama hili suala utalileta humu! Click to expand... dickhead kwanini usinge tunga jina la kigalatia ukapachika hapo Kwanini utumie la kiislamu au unavinasaba vya udini