Mbishi Uswazi
Senior Member
- Feb 7, 2020
- 170
- 315
Duuh...! Pole sana mkuu. JKT ya mbeya uyole unaifahamu kweli ilipo?. Mbona sio maeneo yenye kufikiwa na maji?. Halafu ni katikati kiasi kwamba chatu alitokea upande gani mkuu?. Maana ni kama hamna poli. Labda ungesema nyuma ya sec ya mbeya day kuna mto kule na vichaka pembeni ya mto. Isitoshe kule tuliwahi kusikia kuna chatu anapita maeneo yale
Sent using Jamii Forums mobile app
mmh we jamaa story yk ni ngumu kuiamini maana hujaelezea chanzo kwa ninavyojua nyoka chatu akurupukii kitoweo tena kikubwa km binadamu huwa anafanya maandalizi mapema sio chini ya 3 days akikufuatilia anakutathmini ndio maana ni ngumu sana chatu akiattack mnyama kutokea makosa..Sitaisahau elnino ya mwaka tajwa hapo juu, mvua zilikuwa kubwa sana kule maeneo ya Mbeya bila kujua nikaingia kwenye mtego wa chatu, alinidondosha.
Pona yangu sikuamka, na ukilala chali chatu hakuwezi alinitambaa sana mwilini ili anivingirishe ila nilijikaza na ile ngozi yake laini ilivyokuwa inanitambaa mwilini.
Nilijikaza lakini alibahatisha kunimeza mguu wote; alishindwa kunimalizia kwasababu nilikuwa nimetanua mguu wa kulia hivyo sikupita mdomoni mwake. Niliokolewa baada ya masaa matatu ila mguu uliungua sana.
Huwezi amini tulikuwa tunaangaliana jicho kwa jicho huku nimelala, ujasiri huu niliupata baada ya kulewa sana pombe ya Kiroba ilikuwa maarufu sana kule Mbeya inaitwa Double Punch.
Chatu msikie tu. Yupo kama jini au shetani, yale macho yake mkitazamana kwa karibu.
Simu ya kwanza ya kamera kuiona ilikuwa ni nokia nayo niliiona 2003 kwa shangazi yangu aliyekuwa bandariUnataja simu za mwanzo kuwa n camera unaitaja tecno? Tangu lini hiyo kampuni ikagundua teknolojia mpya. Mimi simu ya kwanza ya camera niliiona kwa brother mmoja alitoka Dubai, 2008 ilikuwa.
Sitaisahau elnino ya mwaka tajwa hapo juu, mvua zilikuwa kubwa sana kule maeneo ya Mbeya bila kujua nikaingia kwenye mtego wa chatu, alinidondosha.
Pona yangu sikuamka, na ukilala chali chatu hakuwezi alinitambaa sana mwilini ili anivingirishe ila nilijikaza na ile ngozi yake laini ilivyokuwa inanitambaa mwilini.
Nilijikaza lakini alibahatisha kunimeza mguu wote; alishindwa kunimalizia kwasababu nilikuwa nimetanua mguu wa kulia hivyo sikupita mdomoni mwake. Niliokolewa baada ya masaa matatu ila mguu uliungua sana.
Huwezi amini tulikuwa tunaangaliana jicho kwa jicho huku nimelala, ujasiri huu niliupata baada ya kulewa sana pombe ya Kiroba ilikuwa maarufu sana kule Mbeya inaitwa Double Punch.
Chatu msikie tu. Yupo kama jini au shetani, yale macho yake mkitazamana kwa karibu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Swali pekee analoweza kujibu huyu pimbi ni location ya tukio
Zaidi ya hapo ni kulalama tu kwamba haaminiki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona niliyemquote boss?
Wakati wa mvua za El nino kulikuwa na simu yenye uwezo wa kupiga picha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upogo? 😀Sio stori mkuu, tatizo ushajiita mbishi huwezi kukubaliana nami😅.
We ulikuwa unaota ndoto maana unasema ulilewa, afu kwa maeneo ya jeshini sidhani kama wanajeshi wamgeshindwa kukuokoa, hao waliokuwa wanakupiga picha walitumia vifaa gani au sio utaratibu wa wana mbeya upatwe na tatizo afu waanze kukuangalia tu. Kingine kama ulilewa ulikuwa na ujasiri gani wa kujilaza kumzuia chatu asikuviringe ili kukuvunja. Bila hizo picha mimi nikiwa mwana mbeya hapa nakuona MUONGO sana aiseeeMbeya karibu na reli ya tazara maeneo ya kambi ya jkt mbeya walikuwa na huo mtindo zamani wanapiga picha matukio halafu wanauza picha
Nipogo yego. Za siku nyingi?Upogo? 😀
Ndio ulikuwa mtandao wa kwanza wa simu za mkononi tz boss, inamaana hata celtel hujawahi isikia?