Nilimezwa na chatu mwaka 2008

Nilikuwa na nokia inapiga mbele na nyuma ya kufunua 2008
 
Sikumbuki tukio kama hilo kutokea uyole miaka hiyo, nimewauliza jamaa zangu nao hawana hiyo kumbukumbu. Labda unasema kweli mkuu
 

Sipati picha alivyokuwa anakugusa pale iliposimikwa mitambo ya DOWANS, nahisi ulikuwa unaamini rasmi kituo kinahamishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe Mkuu ni kiboko
nilishapuuzia hii CHAI lkn umenirudisha
ASITUDANGANYE El Nino ilikuwa 1997 / 1998 eti chatu akamlamba mguu, akija kichwani anaogopa macho ya mlevi, chatu hataki kuangaliana
 
Picha zangu nilizopigwa nikiwa nimemezwa na chatu ziliuzwa sana pale uyole picha moja iliuzwa buku.

Cha ajabu sikufaidika hata na shilingi katika picha zile ambazo watu walineemeka kibiashara kupitia shida yangu.
Ndugu zangu kutokea hapo Uyole vijijini hii dhambi haiwaachi salama 🤣🤣🤣
 
Picha zangu nilizopigwa nikiwa nimemezwa na chatu ziliuzwa sana pale uyole picha moja iliuzwa buku.

Cha ajabu sikufaidika hata na shilingi katika picha zile ambazo watu walineemeka kibiashara kupitia shida yangu.
Wenyewe wanasemaga " cha mlevi huliwa na mbwa"
 
Uyole kuna kambi ya jeshi karibu na daraja la tren kabla hujafika stendi ya daladala
Hapo ni uyole ....sumajkt ujenz (NSCD)

Ni kweli kuna kimstu cha kiaina.....japo masika kuna mashamba ya kilimo ...

Nilipita hapo kama service men (JKT)
 
utotoni tulikuwa tunadanganyana chatu akikukamata anaziba pua na ulimi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…