mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Nilikuwa na nokia inapiga mbele na nyuma ya kufunua 2008
Simu za camera tangu miaka ya 2005,faza wangu mdogo alikuwa anaenda Kampala kurangua simu zile za kufunua zilikuwa na kamera hapa bongo alikuwa anauza simu moja laki tano, enzi hizo tena anauza mkononi Ila zilikuwa mpya,2008 zilikuwepo simu zenye kupiga picha sema zilikuwa chache.