Nilimezwa na chatu mwaka 2008

Mkuu nasikia ukimezwa na chatu ukaokolewa hua kuna majira ya mwaka yakifika hali ya mwili inabadilika, je kwa mguu wako uliomezwa na huyo chatu hakuna kipindi cha mwaka kikifika mguu unabadilika?
 
Unabadilika mguu unakuwaje??πŸ™„πŸ™„πŸ˜²πŸ˜²
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…