Nilimfata Manara na sasa namfuata Harmonize

Joined
Nov 9, 2021
Posts
17
Reaction score
33
Nawasalimu JF kwa salamu ya Hi Five...GOOD!

Niende kwenye point.

Ninaweza kusema naongozwa sana na hisia zang tu (Emotion), hata akili natumia pia., na kwa bahati mbaya sana sikuwa mshabiki kindaki ndaki wa mpira. Ila kutokana na ushawishi wa rafiki yangu nilijikuta naipenda simba na kuimba nyimbo za Pira Biriani, pira sambusa, WIDA N.K. Kitendo cha Manara kufanyiwa figisu na kuhamia Yanga basi na mimi nikamfata.

Ndio najua na leo Namungo wametupa kichapo ila bado ntabaki huku. Huyu mtu niliona ana kipaji kikubwa sana cha ushawishi mpaka akanifanya mimi nikapenda Mpira. Mechi ya simba ilipokuwa ikicheza nilikuwa napata kinywaji changu kwa furaha iliyopita kifani mana mwisho wa siku ubingwa ulikuwa kwa simba tu.

Nilimfata baada ya kuona kuna binti kavamia utawala ilihali uwezo hawezi kuwa nao kama wa Manara. So nilipokutana na clip za Manara kulia kwenye mitandao kwa kufanyiwa hujuma, ikaniuma sana nami nikamfata alipo sasa. Najua kuna povu hapa. Kila mtu na afate hisia zake bwana[emoji41]. Twende kwa Diamond Plutnum na Harmonize..

Nilimkubali sana Diamond kutokana na historia yake chungu sana aliyopitia katika maisha. Hata nyimbo zake zilionyesha kuwa jamaa alikutana na ugumu wa maisha ikampelekea kufanya biashara za kawaida sana ili kujikimu kimaisha.

Ugumu wa maisha haukumzuia moyo wake kupenda wale aliohisi wanaweza kuwa pamoja. Matokea yake walimkimbia kwa kuwa hakuwa na hadhi ya kuwa nao kwa kipindi hicho. Kwa kifupi Diamondi Mungu kampa kipaji kikubwa sana hapa Duniani.

Ila sasa kwa hiki kilichotokea kwa Harmonize kimeanza kunirudisha nyuma mpaka nianze kufikiria ule uhusiano wa Diamondi na Baba yake........

Itaendelea
 
Ni wachache San wapitie umaskini ule watoboe alaf wawe n roho hiyo ambayo wengi tunaitaka. Hat huyu harmonize hujui yaliyojificha! Ungekuw msanii mchanga pengine ungeuelew mziki na unoko wake
Sijakataa kuwa kuna kupambana sana ili utoke kimziki. Ni kazi saaanaa. Ninao marafiki wenye sauti za maajabu wakiimba ila mpaka leo ninaishia kusikiliza nyimbo zao gheto na kwenye magari yao. Muda wao wa kutoka bado, huenda siku za usoni watatoboa.

Lakini pia sio guarantee kuwa anayekusaidia kutoka kimziki basi hatokuwa na wivu pindi unapoanza kuonyesha dalili za kumzidi kimvuto katika mziki. Au unapoanza kuonyesha kujitambua.

Nakuomba sana ukapate utulivu mkubwa sana wa kumsikiliza Harmonize kuanzia mwanzo mwisho juu ya lawama anazotoa dhidi ya diamond baada tu ya kurudi kutoka nje ya nchi. Naamini kuna kitu utakigundua Sir Midabwada.
 
...............harmonize anatafuta huruma au kiki............kwa sisi wachambuzi wa muziki tunajua tu harmonize anatafuta mchawi wa kumtwisha mzigo wake kutokana na kuanguka kimziki....hapa tujikumbushe tu as the time increase ,,,the downfall of harmonize increase provided that no external force act ,sababu ni kuwa kaprove failure kutokana na ushahidi huu

Albamu alitoa juz hapa imefanya vibaya sana tofauti na alivyotegemea hakuna hata wimbo mmoja ulio hiti kimataifa

Tangia achomoke wasafi amekua nominated au kujitokeza kwenye tuzo moja tu za juzi kati.....

so harmonize jahazi lake linaenda kuzama coz now anatumia nguvu nyingi kwenye mziki but output yake ni ndogo MFANO..........kwenye albam ya highschool....hakuna hata wimbo mmoja uliofikisha views 1m so hii kulia lia harmonize anatafuta mtu wa kumtwisha failure yake
 
Nawasalimu JF kwa salamu ya Hi Five...GOOD!

Niende kwenye point.
Ninaweza kusema naongozwa sana na hisia zang tu (Emotion), hata akili natumia pia., na kwa bahati mbaya sana sikuwa mshabiki kindaki ndaki wa mpira. Ila kutokana na ushawishi wa rafiki yangu nilijikuta naipenda simba na kuimba nyimbo za Pira Biriani, pira sambusa, WIDA N.K. Kitendo cha Manara kufanyiwa figisu na kuhamia Yanga basi na mimi nikamfata.

Ndio najua na leo Namungo wametupa kichapo ila bado ntabaki huku. Huyu mtu niliona ana kipaji kikubwa sana cha ushawishi mpaka akanifanya mimi nikapenda Mpira. Mechi ya simba ilipokuwa ikicheza nilikuwa napata kinywaji changu kwa furaha iliyopita kifani mana mwisho wa siku ubingwa ulikuwa kwa simba tu.

Nilimfata baada ya kuona kuna binti kavamia utawala ilihali uwezo hawezi kuwa nao kama wa Manara. So nilipokutana na clip za Manara kulia kwenye mitandao kwa kufanyiwa hujuma, ikaniuma sana nami nikamfata alipo sasa. Najua kuna povu hapa. Kila mtu na afate hisia zake bwana[emoji41]. Twende kwa Diamond Plutnum na Harmonize..

Nilimkubali sana Diamond kutokana na historia yake chungu sana aliyopitia katika maisha. Hata nyimbo zake zilionyesha kuwa jamaa alikutana na ugumu wa maisha ikampelekea kufanya biashara za kawaida sana ili kujikimu kimaisha.

Ugumu wa maisha haukumzuia moyo wake kupenda wale aliohisi wanaweza kuwa pamoja. Matokea yake walimkimbia kwa kuwa hakuwa na hadhi ya kuwa nao kwa kipindi hicho. Kwa kifupi Diamondi Mungu kampa kipaji kikubwa sana hapa Duniani.

Ila sasa kwa hiki kilichotokea kwa Harmonize kimeanza kunirudisha nyuma mpaka nianze kufikiria ule uhusiano wa Diamondi na Baba yake........

Itaendelea
Diamond ni mchawi anamroga baba yake awe kichaa
 
Sijakataa kuwa kuna kupambana sana ili utoke kimziki. Ni kazi saaanaa. Ninao marafiki wenye sauti za maajabu wakiimba ila mpaka leo ninaishia kusikiliza nyimbo zao gheto na kwenye magari yao. Muda wao wa kutoka bado, huenda siku za usoni watatoboa. Lakini pia sio guarantee kuwa anayekusaidia kutoka kimziki basi hatokuwa na wivu pindi unapoanza kuonyesha dalili za kumzidi kimvuto katika mziki. Au unapoanza kuonyesha kujitambua. Nakuomba sana ukapate utulivu mkubwa sana wa kumsikiliza Harmonize kuanzia mwanzo mwisho juu ya lawama anazotoa dhidi ya diamond baada tu ya kurudi kutoka nje ya nchi. Naamini kuna kitu utakigundua Sir Midabwada.
Kama rafiki zako mpaka Wana magar wanasikiliza nyimbo zao, yaonyesha wanajiweza hata kufanya promo ya kazi zao, mziki promo la ukweli.
 
Mtu akitaka kubisha juu ya hiki ulichoandika, atatakiwa atutajie kitu chochote kile ambacho Harmo ame-ongeza tangu atoke kwa wanyonyaji (hâta kimoja tu).
...............harmonize anatafuta huruma au kiki............kwa sisi wachambuzi wa muziki tunajua tu harmonize anatafuta mchawi wa kumtwisha mzigo wake kutokana na kuanguka kimziki....hapa tujikumbushe tu as the time increase ,,,the downfall of harmonize increase provided that no external force act ,sababu ni kuwa kaprove failure kutokana na ushahidi huu

Albamu alitoa juz hapa imefanya vibaya sana tofauti na alivyotegemea hakuna hata wimbo mmoja ulio hiti kimataifa

Tangia achomoke wasafi amekua nominated au kujitokeza kwenye tuzo moja tu za juzi kati.....

so harmonize jahazi lake linaenda kuzama coz now anatumia nguvu nyingi kwenye mziki but output yake ni ndogo MFANO..........kwenye albam ya highschool....hakuna hata wimbo mmoja uliofikisha views 1m so hii kulia lia harmonize anatafuta mtu wa kumtwisha failure yake
 
Ni wachache San wapitie umaskini ule watoboe alaf wawe n roho hiyo ambayo wengi tunaitaka. Hat huyu harmonize hujui yaliyojificha! Ungekuw msanii mchanga pengine ungeuelew mziki na unoko wake
Juma lokole una gubu
 
Nitajie ngoma yake nyingine yoyote iliyohit tangu atoke WCB zaidi ya Kwangwaru ambayo alimshirikisha mnyonyaji. Mpaka halo sihitaji kukutajia kingine.
Muziki umeanza kufuatilia mwaka
Gani? Tuanze hapo kwanza
Ili nijue naongea na mtu mwenye upeo gani kimuziki
 
Swala la kujua mziki nimeanza kuufatilia Mwaka gani na swali nililokuuliza haviendani kabisa.Tuzungumzie ya Harmonize na WCB ambayo ni ya juzijuzi hapa (2015- present) .

Nimekuomba unitajie wimbo wa Harmo uliohit zaidi ya Kwangwaru ambao alimshirikisha mnyonyaji wake. Taja mziki mmoja tu unaoufikiria.
 
Huyu jamaa ni vile tu vile vijisent vili mbeba tu,ila KWA Sasa nyimbo nyingi ni local sana nafikiri kakosa watu wa kumshika mkono na ushauri wa nyimbo na video za kwenda kimataifa KWA Sasa,Nyimbo zake nyingi Sasa anazirudia na analenga Zaid soko la ndani,sasa hapa ndani kwenyewe uteam kibao,angelenga nje Zaid kama alivyoanza mwanzo Basi show za nje angepata nyingi na ndo zimempa hela sana Diamond na ndo Mana mpaka leo diamond anasaka sana collabo.

Pia kajiachia mwili sana mpaka anashindwa kuburudisha jukwaani,pia team aliyonayo KWA Sasa inahitaji matumiz na malipo ambayo hayaendani na mapato na Ukizingatia yeye ni CEO KWA Sasa,hivyo iwe chumvi nyanya hata Unga team yake inategemea mfuko wake,Hapo anazid kuchanganyika na kukumbuka 600Million alizotoa.

KWA Sasa cha kumsaidia tu ni apunguze team hyo,Kisha ajijenge awe na pesa na kurudi kama Zamani,Team yake nzima KWA Sasa hamisaidii kabisa ktk music yake.

Aache kuwaza pia 600million maana ile ni company aliyoilipa,inalipa kodi ina wafanyakazi,imewekeza n.k yeye anaamini amemlipa diamond 60% akasahau ni kampuni ilosajiliwa,ina watu,ina gharama ya uendeshaji na inalipa kodi.

Wasanii wetu pia wafundishwe elimu ndogo kama hizi za makampuni WAACHE utoto wa kuona umenyonywa wakati watu wanaekeza
 
Video zake pia zimekosa ubunifu, utakuta kila nyimbo saivi anashoot kifua wazi. Tangu atoke WCB hakuna nyimbo yoyote aliyowahi kuvaa shati.

Ubunifu zero.
 
...............harmonize anatafuta huruma au kiki............kwa sisi wachambuzi wa muziki tunajua tu harmonize anatafuta mchawi wa kumtwisha mzigo wake kutokana na kuanguka kimziki....hapa tujikumbushe tu as the time increase ,,,the downfall of harmonize increase provided that no external force act ,sababu ni kuwa kaprove failure kutokana na ushahidi huu

Albamu alitoa juz hapa imefanya vibaya sana tofauti na alivyotegemea hakuna hata wimbo mmoja ulio hiti kimataifa

Tangia achomoke wasafi amekua nominated au kujitokeza kwenye tuzo moja tu za juzi kati.....

so harmonize jahazi lake linaenda kuzama coz now anatumia nguvu nyingi kwenye mziki but output yake ni ndogo MFANO..........kwenye albam ya highschool....hakuna hata wimbo mmoja uliofikisha views 1m so hii kulia lia harmonize anatafuta mtu wa kumtwisha failure yake

msiwe mnamaliza maneno yote,hii tz ni ndogo sana.

halafu huu mziki wa views ndio unadanganya sana wasanii siku hizi.
 
Video zake pia zimekosa ubunifu, utakuta kila nyimbo saivi anashoot kifua wazi. Tangu atoke WCB hakuna nyimbo yoyote aliyowahi kuvaa shati.

Ubunifu zero.
Kifua wazi ni identity ya mtu tu mkuu,na ndo kinachomtofautisha na wengine ,afadhali sasa hivi anapoimba haigi sauti na style ya mondi.

Kuna kundi ya kina Nonini zamani kidogo kuna jamaa kila wimbo kavaa kapero kaishusha kidogo huwezi kuona sura anafananaje hadi leo sijui hata sura yake ipoje ,vile vile kama Sudy Brown na mask yake.

So kila mtu ana identity yake.
 
Sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom