Nilimfukuzia Kwa miezi saba kanitolea nje leo kanipigia anasema hataki uhusiano na Mimi ila ijumaa hii nimpleke live band!

Nilimfukuzia Kwa miezi saba kanitolea nje leo kanipigia anasema hataki uhusiano na Mimi ila ijumaa hii nimpleke live band!

Kabisa mkuu ila alivyonipa makavu nampotezea narudi ili mradi nitoboe kama naanza kuona Moshi mweupe
Hamna Cha Moshi mweupe Wala Nini

Huyo mwanmke hakupendi hata kdg

Bali ana shida zake flan flan
anataka kukutumia wewe kuzitatua bila kumlala, Ndo maana kakufrendi zone mapema usijebeba condom kwny mtoko baadae ukaja kuanza kulaumu.
 
Duh madini matupo ngoja nione itakuaje
 
Duh madini matupo ngoja nione itakuaje
Kama anajua umeoa,
Apo lazima ufanye win-win situation
Hakikisha Lengo lako Ni kumla na kusepa kwa bajeti uliyojitengea kulingana na thamani yake. Ukienda kimapenz kwake atakuumiza sn kihisia na kukuvurugia uchumi wako.
 
Sawa mi nataka tu kupita basi. Uchumi wangu ni wa mwisho wa mwezi!
 
Hiyo laki tatu kanunue Muchele na broiler ule na familia,acha kuharibu pesa kisa....uterezi unaopata bure kwa shemegi yetu kijana.
Dah sasa naanza kifil guilty hata kabla ya tendo!
 
Mwanamke akishajiona kaonekana kwny tv, akilini mwake anajiona soko lake lishakua kubwa sana kwa wanaume wanaomtamani.

Mkishakua wengi Basi mchujo wake lazima angalie Nani mfuko umenona zaidi

Hapo utapigwa vizinga kibao ukishindanishwa na wengine pemben wanaomtaka.

Ukijifanya hamnazo, eti unaend na biti.
Utaishia kutumika na mzigo watakula wengine, na sio ajabu watakaomla hata Mia hawatoi[emoji4]
 
Hatari kubwa
 
Angalia maisha anayoishi na linganisha na thaman ya eneo analotaka ukamtoe out.

Utagundua kabisa Ni Aina ya wanawake wanaoishi nje ya kipato Chao kwa mgongo wa madanga Kama wewe.
Kibozoni kule malamba mawili kunakuaga na band Kali sana
 
Mtu mzima kukaa chini na kutunga story kama hii faida yake nini?
 
Wanawake wengi waigizaji na wanaojifanya matawi ya juu, asilimia kubwa huwa wanaliwa bure na magangster mtaani, hata Mia hutoi.

Au hata ukitoa Basi Ni kidogo mno, Tena ile mara ya Kwanza ili kumvuta ndege tunduni.
 
Back
Top Bottom