Nilimkopesha pesa ampeleke mwanae kwa sangoma kutibiwa lakini sasa anasumbua kunilipa

Nilimkopesha pesa ampeleke mwanae kwa sangoma kutibiwa lakini sasa anasumbua kunilipa

mafoleni

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2016
Posts
220
Reaction score
371
Kuna mwanajeshi alikuwa anauguliwa na mwanae, akanifata nimuazime pesa ampeleke mtoto wake kwa sangoma kwa kuwa hospital wameshindwa kujua anaumwa nini. Aliniomba nimuazime kama laki na nusu hivi nikampatia hiyo hela.

Sasa mshahara umetoka nikimpigia simu hapokei. SMS hajibu. Yaani kwa ujumla dalili za kunidhurumu zipo wazi.
Sasa msaada Wangu ni kuwa niende kumshtaki polisi au nienda kambini kwao. Msaada jamani.
 
Mliandikishana au ulimpa tu...by the way hebu onana naye live ili akuahidi ni lini atakupa kuliko kwenda Polisi kushitaki wakati hujajua amekwama wapi....tatizo nanyi mkiwa mnadai mtu basi simu kila dakika
 
Back
Top Bottom