mafoleni
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 220
- 371
Kuna mwanajeshi alikuwa anauguliwa na mwanae, akanifata nimuazime pesa ampeleke mtoto wake kwa sangoma kwa kuwa hospital wameshindwa kujua anaumwa nini. Aliniomba nimuazime kama laki na nusu hivi nikampatia hiyo hela.
Sasa mshahara umetoka nikimpigia simu hapokei. SMS hajibu. Yaani kwa ujumla dalili za kunidhurumu zipo wazi.
Sasa msaada Wangu ni kuwa niende kumshtaki polisi au nienda kambini kwao. Msaada jamani.
Sasa mshahara umetoka nikimpigia simu hapokei. SMS hajibu. Yaani kwa ujumla dalili za kunidhurumu zipo wazi.
Sasa msaada Wangu ni kuwa niende kumshtaki polisi au nienda kambini kwao. Msaada jamani.