Nilimkuta hana kitu tukafungua biashara mpaka ikafika milioni 100 lakini akanifukuza

Hii ndiyo hasara ya kuingiza ndugu kwenye mahusiano yenu
 
Changamoto zipo tena nyingi sana lakini hakuna mambo ya kutukanana, mambo ya huna akili wala nini, ananiheshimu kwani namimi nina kipato. Si kama yeye kwakua biashara ilishakua kubwa lakini sasa hivi anajua hata akiniacha kesho sirudi kwetu wala siteseki, anajua kua nina uwezo, anajua kuwa maneno yake hayaniumizi tena.๐Ÿ“Œ๐Ÿ”จ
 
Mtaji ni fb huko ndio kuna bendera fuata upepo wengi sana.
Hapo utapiga hela, nitakutafutia na wateja maana watoto wa shule ya msingi na secondary ndio wako huko wakutosha... Tukiwapa bando tu la Jero jero siku ya kwanza baaasi๐Ÿ˜ƒ
 
Hapo utapiga hela, nitakutafutia na wateja maana watoto wa shule ya msingi na secondary ndio wako huko wakutosha... Tukiwapa bando tu la Jero jero siku ya kwanza baaasi๐Ÿ˜ƒ
Mpaka hapo tayari nshapiga hela, nikiandika na kitabu nikatafuta na kadawa kamoja ka kuuza 50K kwisha habari yao๐Ÿ˜…
 
Mkiwa mnaleta stori mseme kabisa imeletwa kutoka wapi
Mimi nasoma najuwa ni wewe katikati nasikia habari za idi sijui mara kachapisha kumbe ni stori
 
Nimeuliza yeye alochangia Mtaji kiasi gani ?
Akasema Eti amechangia mawazo ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ