Nilimkuta hana kitu tukafungua biashara mpaka ikafika milioni 100 lakini akanifukuza

🥶We **** kibuyu wewe si ndo ulisema uliachwa kisa tattoo makalioni mama Amina zako wewe. 😬Ety gest inakupa milion 100 stupid kabisa
 
Nimeishia uliposema umenunua kitabu cha kaka Idd...kwa hiyo huyo kaka Idd ndio anakufundisha kumuibia mumeo?
 
Eeh
 
Unaweza kutupa mchanganuo wa kipato chako Cha kazi yako ya bar kiliwezaje kusomesha mwanachuo?
kwanza wauza bar hakuna mabinti most off them ni wanawake waliozalishwa na kuachwa wanamajukumu balaa hawawezi kumbeba mwanachuo labda kumtegemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…