Mkuu, sasa mbona unataka nikose mema ya nchi kwa Unique Flower?πWee Si umeoa? (Nakusagia kunguni[emoji12])
Dah pole Sana mm Kuna watu Ni wachawi aise mm mwenywe kidg week iliyopita nimchakate mchawiKweli
Nitakushukuru Sana Kama unaniambia member huyo Ni Nani pmIko kama hivyoo hatujawahi onana alituma picha tu
Nitakutiii mama la mama, nyonga mkalia ini ππNational Anthem si unaona wenzio huku wanalogwa. Sasa nakuuliza mara ya mwisho nimpe babu jina lako la mwisho au utanitii?
Vizuri maana ukisema suu utashangaa hadi namba ya siri unanipaπNitakutiii mama la mama, nyonga mkalia ini ππ
Usinifanyie mama yangu kipenziii πππ furaha yangu, nitakutii kwa kila neno lakoVizuri maana ukisema suu utashangaa hadi namba ya siri unanipaπ
Ole wako sasa nikukute m.city unawinda kama kawaida yako ntakurogaπUsinifanyie mama yangu kipenziii πππ furaha yangu, nitakutii kwa kila neno lako
Halipingwe hili mama yangu kipenzii, nakusikiliza wewe tu utakavyo, mie ni kifaranga chako ππOle wako sasa nikukute m.city unawinda kama kawaida yako ntakurogaπ
Haya laaziz nyonga mkalia iniHalipingwe hili mama yangu kipenzii, nakusikiliza wewe tu utakavyo, mie ni kifaranga chako ππ
Watoto wamejaa jf, thread upuuzi tupuJamani mwezi wa pili nilitoa uzi kuhusu kutafuta babe, wakaja wengi wazuri. Loh, kumbe ni lichawi! Visa nilivyovipata mpaka niliamua kwenda kwenye maombi.
Akikupigia mkapigana usiku, unamuota kashika fimbo meaning anakuuliza, utanisamehe au hii fimbo inakuishia yote? Nasema nimekusamehe, nisipomsamehe ananichapa haswa au akipiga sijapokea ananiambia, unadhani sijakuona? Nimekuona umevaa hivi na hivi, walahi anakupa ishara fulani unajua alikuwepo.
Mara nyingine hadi na makofi anakupatia na yupo Dodoma mie Arusha, alifanya vitimbi hadi nikaona hapa ni maombi, nikaenda kwa msaada zaidi na mpaka sasa ameniacha.
Humu kuna watu ma Free Mason, nakumbuka alivyonikata tumbo nilipokataa kuonana naye ili tupate watoto, nikamjibu fuata utaratibu, si ndiyo lengo letu? Akadai utaona, we mida ya kumi na mbili kamili jioni nikaona kitu shaaa tumboni, mara uwazi tumboni, weh damu zote chini, kupelekwa hospitali ilikuwa inshu nyingine.
Waliona wakashona ila haiponi, kwenda hospitali nyingine ndiyo hivyo. Nikaona mzee wa ukoo anisaidie kwa hili nikapona.
Ila nilikwenda maombi, sasa hivi humu mie hapana!
Nafuu yako tu wewe ila ipo siku utakiona cha moto nakariri jina lako utakujaga tu wewe utakuwa kakukula utumboWatoto wamejaa jf, thread upuuzi tupu
Acha utani basiDah pole Sana mm Kuna watu Ni wachawi aise mm mwenywe kidg week iliyopita nimchakate mchawi
Atakuwa ni Monica ex wake umghaka ππ€£π€£π€£ mtaje tu hamna namna
π€π€π€π€π€π€ Waooo roho yangu mimiHaya laaziz nyonga mkalia ini
Haya mahaba mbona mengi hivo mpaka naogopaπππ€π€π€π€π€π€ Waooo roho yangu mimi
[emoji1787][emoji112]Au G?[emoji16][emoji16][emoji16]