Nilimpata mchumba mchawi

Nilimpata mchumba mchawi

Aaiiiiiiiiii wambiee mpenzi wangu wajue jaman🥰🥰🥰ukizidisha mahaba hivi nakuekea bango lako pale posta
🤗🤗 nitakupenda mpaka pumzi yangu ya mwisho. Maana ni wewe pekee ulie fanya dunia iwe na maana kwangu, bila wewe hakuna maana yoyote
 
Back
Top Bottom