Mambozi
Jaman kitambo kiaina ila nawashirikisha jambo moja.
Nilimfatilia sana the bold miezi/ miaka hyo kabla hajaanza kupigwa ni bani ya kudedi kiumbe humu jamvini. Baadae akapotea na mkewe nifah.
Hata sijui km wapo humu ama hawapo ila the bold nakupenda tu sitaki kusema nakupenda kwasababu ya kimapenzi ila naona una kitu nahitaji kutoka kwako.
Km upo humu NAKUSALIMIA tu.
Wale wakupanic na kuchamba mniache jaman sipendi hizo mambo maana mie "si mswahili "