Wakubwa wanafaidiMambozi
Jaman kitambo kiaina ila nawashirikisha jambo moja.
Nilimfatilia sana the bold miezi/ miaka hyo kabla hajaanza kupigwa ni bani ya kudedi kiumbe humu jamvini. Baadae akapotea na mkewe nifah.
Hata sijui km wapo humu ama hawapo ila the bold nakupenda tu sitaki kusema nakupenda kwasababu ya kimapenzi ila naona una kitu nahitaji kutoka kwako.
Km upo humu NAKUSALIMIA tu.
Wale wakupanic na kuchamba mniache jaman sipendi hizo mambo maana mie "si mswahili "
Nta Ku PmNimemshikia mtu nafasi yake
Comments ziwe fupi fupi jamani tusichoshane
Kunipm tena uko pm kuna nn tena monacoNta Ku Pm
[emoji15]Na bachelor sugu je??
Mimi ni jinsia ya kike...mwanamke makini kwenye uchaguzi hasa nnao wapendaWewe ni Ke
Kila la kheri....Mimi ni jinsia ya kike...mwanamke makini kwenye uchaguzi hasa nnao wapenda
Asante sana.Kila la kheri....
Kumbe hawapogo kabisa humu?Duu the bold na Nifah waliondoka kiutani sn.
Ebu sema neno tafadhali, maana huyu jamaa ni jinsia ya Ke....[emoji30][emoji30][emoji30]Nimemshikia mtu nafasi yake
Comments ziwe fupi fupi jamani tusichoshane
NPO mdogo Ake hapa nnayo aliyonayo no PM Kwa msaada zaidiMambozi
Jaman kitambo kiaina ila nawashirikisha jambo moja.
Nilimfatilia sana the bold miezi/ miaka hyo kabla hajaanza kupigwa ni bani ya kudedi kiumbe humu jamvini. Baadae akapotea na mkewe nifah.
Hata sijui km wapo humu ama hawapo ila the bold nakupenda tu sitaki kusema nakupenda kwasababu ya kimapenzi ila naona una kitu nahitaji kutoka kwako.
Km upo humu NAKUSALIMIA tu.
Wale wakupanic na kuchamba mniache jaman sipendi hizo mambo maana mie "si mswahili "
Mdogo wake upo humu ila huna vishawishi yani huna vionjo vya bold weweeeNPO mdogo Ake hapa nnayo aliyonayo no PM Kwa msaada zaidi
Vionjo vipo PM bi dada karibu sanaMdogo wake upo humu ila huna vishawishi yani huna vionjo vya bold weweee