Nilimpendaga The bold na bado nampendaga hapo simjui

Naomba Nifah awepo pembeni,maana hamchelewi kupitiwa na sheitwan!
(Kidding)
 
Mapenz hayahitaji haraka ,ni kama tango unatia tu chumvi,in platinum's voice
 
Bila shaka mpo salama salimini Dada zangu...

Kwa upande ondoeni shaka japo maji yapo shingoni kwa sasa....
Tupo salama hasa twamshukuru Allah. Sijui weye.

Kila la kheri Insha Allah ila ndio inabidi kugangamala hasa mdogo wangu
 
Bila shaka mpo salama salimini Dada zangu...

Kwa upande wangu ondoeni shaka japo maji yapo shingoni kwa sasa....
daaa wacha kabisa ngoja nimpange dada hajar tukuibukie mdog wangu
 
Hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…