Nilimpoteza demu mkali kisa kutojua nyimbo na story za wamarekani na Netflix

Mbwichichi

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
347
Reaction score
1,843
Nakumbuka mwaka 2017 nilipata nafasi fulani ya kwenda mahala kujifunza masuala ya ufugaji.Ilikua ni programe imeandaliwa na mahali pangu pa kazi.

Tulivyofika Kule singida tulikutana watu kutoka mikoa tofauti,siku ya kwanza ilikua ni maalumu kwa ajili ya shopping ya vifaa vya yale mafunzo ambayo ilibidi yadumu kwa miezi miwili mfululizo.

Kupitia hii shopping nikapata rafiki,unajua tena wanaume urafiki huwa unaibuka ghafla sababu ya kushare interest kwenye baadhi ya mambo….yule jamaa yangu aliona nanunua “safety boot” wakati wengine wananunua dawa za meno na sabuni na miswaki,akasema “oya we mwanagu” basi tukawa marafiki hivyo😃

Sasa kufupisha habari….baada ya siku kadhaa nikaja kugundua huyu jamaa ni “wa kishua sana” halafu mimi unga unga mwana…niligundua hili kwa sababu kwa mara ya kwanza ilikua ndio naonana live na mtu ana “iphone 7”,by then ndio zinatoka…kingine niligundua jamaa akila vitu kama nyama hatumii stiki kuchokonoa meno…anatumia zile kamba fulani zile nyembamba,nikasema ohhh huyu siyo mwenzangu,lakini mbaya zaidi jamaa alikua anamiliki bastola bhana,alinambia ni kwa ajili ya kuwindia na home kwao wanazo mpaka bunduki😨…..zaidi alikua anavyoa ndevu na zile dawa za kupaka zile,jamaa alikua anaishi kama mmarekani fulani…ile kiume nikasema freshi haina noma,basi tukaendela na mafunzo.

Sasa ilikua kila weekend tunaenda Regency resort…kwa watu wa singida wanajua hiki kiwanja,ni cha kishua haswaa kwa miaka ile,sijajua miaka hii….hapo regency mwana alikua anaweza agiza pombe mkanywa hataa za 200k na analipa bila longo longo…hapo regency mshkaki tu ni 3000/= na tulikua tunakula hadi kuvimbiwa…

Sasa nilikuja kugundua huyu jamaa alinikubali mimi sababu nilikua “mtoto wa mbwa” ,kwa Singida kuwapata wale mademu oya oya wa mtaani haitakiwi sana swaga za kitajiri…ukienda kishua sana utawasikia tu kwenye bomba…sasa mimi nilikua na kipaji cha kupepeta mdomo kiswahili swahili vile…ikawa namsaidia sana kuwaopoa wale wanaouza grocery za mitaani zile….aisee Singida mademu wakali sana yani.

Siku moja kibao kikageuka…kuna demu mimi ndio nikawa nimemuelewa,tulimkuta pale regency,nikaanza kumchombeza chombeza akawa anakuja,kumbe demu siyo wa singida bhana…ni wa Arusha😂😂😂….nikasema na mimi leo naokota demu mkali kwenye maeneo ya kishua kwa kupitia mgongo wa mwana….maana pale demu akikikuta hawezi judge anajua wewe ni tajiri tu.

Napiga naye story mara akajichanganyaje sijui akaongelea mambo ya kimarekani na muziki na muvi zao….kitu ambacho sikujua ni kwamba jamaa yangu yuko deep sana kwenye hayo mambo wakati mimi kwenye uzungu mweupe kabisaaaaa….

Bhana bhana….jamaa yangu si akadandia kuchangia hiyo habari ya movie na muziki,jamaa anataja wasanii mii hata sijawahi wasikia,mi ile siku ndio nilisikia kuna msanii anaitwa “passenger”,mara wakafika kuongelea mpaka Netflix,mimi sijui hata wanalipiaje,ila jamaa anayoa account humo….akafungua pale kwenye ile “iphone 7” maaaaaaninaaa,demu akapoteza kabisa concetration kwangu,ukichangia anaagiza “tot” za kupimiwa yule demu akasoma kabisa mchezo kwamba jamaa ni wa kishua.

Tumekaa kidogo ikaanza liveband…jamaa kachukua mic akalipia aimbe mwenyewe kitu kinaitwa “karioki”….mimi kwa wakati huo nashangaa tu sielewi kitu yaani….jamaa kaenda pale mbele kaimba wimbo gani sijui wa kizungu kuanzia mwanzo mpaka mwishoni.

Mimi kucheki yule demu naona hata kuniongelesha na kusikia story zangu za “chupli chupli” hataki kabisa

Yule jamaa akaja akaua kabisa akasema anaingia pale swimming pool….akalipia,kumbe bhana iphone unaweza ingia nayo hadi kwenye maji,akaingia nayo anajipiga picha chini ya maji.

Mara akamwita yule demu “hey can you join me??….demu hata hakujiuliza mara mbili….akaenda chukua zile nguo,jamaa anaonyesha tu wale watoa huduma kwamba malipo yaongezwe kwenye bili yake….

Demu akaingia kwenye swimming pool….ndio habari ya kutaka kumla yule demu ikaishia hapo.

Yule jamaa asivyo na utu akiwa kwenye maji na simu yake akasema nikambookie chumba…😀😀😀😀😀

Ikabidi nikae kwenye code….jamaa alimla yule demu akanipa nauli ya kurudi camp yeye akalala naye hadi asubuhi.

Mimi nilipojipata kitu cha kwanza kilikua ni kuanza kutumia zile kamba kutolea mabaki kwenye meno….afu kumbe zinauzwa bei rahisi tu.

Oya tutafuteni pesa.
 
Screenshot_20250221-124946~2.jpg
 
Akunyimae kunde,anakupunguzia mashuzi
 
Sasa wewe demu wa Arusha tu unahaha!, ukikutana na demu mmarekani mwenyewe na vile wanvyoongea haraka haraka unaweza usielewe kitu!..

Usibabaike hivyo vitu vya kawaida sana zaidi kwa mademu wakiafrika akishaona mtu anaunyamwezi basi hujirahisisha sana!.

Mi nilikutana na pisi tatu za kimarekani haloo unapigwa American English mpaka kuna muda unahisi kuchanganyikiwa..😂
Uzuri napenda sana kusikiliza nyimbo za kimarekani vilevile movie hivyo hichi kitu kimenijenga sana kwenye kuwaza kuwaelewa!, ajabu mmarekani naweza kumsikiliza na kumuelewa ila muhindi!, DADEKI muhindi nikishasikia tu anaongea English nakaza sikio rafudhi yao na English naona ni paka na panya!.

Siku zote watu wakikutana wanaolandana huenda pamoja hutokea automatic!, Kama ni muvi basi wewe ndo ulikuwa jambazi...🤣
 
Maisha haya watu wanatoka mbali,
way back 2010, nanunuliwa suruali ya kwanza woolworth 120, niliona haya ni matumuzu mabaya ya hela hadi kumaindi, na haikuwa yangu. Nikajisemea ningeenda zangu karume, ningepata karibia 20.

Steers na take way, kila jioni saa mbili, alinipa sana exposure yule mwanamke na kujipenda

Ndipo niligundua na kuachana na usemi kwamba nguo za dukani midosho, hakuna kiwanda kinatengeneza mitumba, hizo nguo nzuri za mtumbani ni watu walichagua dukani.

Tuishi kwa uwezo wetu, ila ukiwa nazo exposure muhimu, na personality itakubeba sehemu nyingi sana
 
hahhahaahah hatari sana unakutana nao wapi hao wadada wakimarekani
Sasa wewe demu wa Arusha tu unahaha!, ukikutana na demu mmarekani mwenyewe na vile wanvyoongea haraka haraka unaweza usielewe kitu!..

Usibabaike hivyo vitu vya kawaida sana zaidi kwa mademu wakiafrika akishaona mtu anaunyamwezi basi hujirahisisha sana!.

Mi nilikutana na pisi tatu za kimarekani haloo unapigwa American English mpaka kuna muda unahisi kuchanganyikiwa..😂
Uzuri napenda sana kusikiliza nyimbo za kimarekani vilevile movie hivyo hichi kitu kimenijenga sana kwenye kuwaza kuwaelewa!, ajabu mmarekani naweza kumsikiliza na kumuelewa ila muhindi!, DADEKI muhindi nikishasikia tu anaongea English nakaza sikio rafudhi yao na English naona ni paka na panya!.

Siku zote watu wakikutana wanaolandana huenda pamoja hutokea automatic!, Kama ni muvi basi wewe ndo ulikuwa jambazi...🤣
 
Mapenzi are there for people to enjoy

ukipata mtu mnaendana same energy issa win win
 
Back
Top Bottom