Mamaeeeee ni shwaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umenikumbusha kuna pini moja nilikutana nayo town ,nikaisemesha ikaniambia hapa hakuna utulivu twende tukaongelee kwenye gari yako.Aisee ilibidi nikachekee chooni ,nikapita za nyuma nyuma nikada toyo huyooooo gheto.
Haha! No.😂😂😂😂
okay…..ulifanikiwa kufanya nao mapenzi?
Mkuu ungekuwa real tu. Ungesema huna gari.Umenikumbusha kuna pini moja nilikutana nayo town ,nikaisemesha ikaniambia hapa hakuna utulivu twende tukaongelee kwenye gari yako.Aisee ilibidi nikachekee chooni ,nikapita za nyuma nyuma nikada toyo huyooooo gheto.