Nilimpoteza demu mkali kisa kutojua nyimbo na story za wamarekani na Netflix

Umenikumbusha kuna pini moja nilikutana nayo town ,nikaisemesha ikaniambia hapa hakuna utulivu twende tukaongelee kwenye gari yako.Aisee ilibidi nikachekee chooni ,nikapita za nyuma nyuma nikada toyo huyooooo gheto.
 
Hahaha yaani nimecheka mpaka kinywaji kikali kimenipalia. Issue sio kutafuta pesa bali kuishi katika hayo mazingira, unaweza ukawa na pesa na bado ukaonekana ni mburula tu mbele ya watoto wakali. 🀣
 
ukijizoea tabia za uongo uongo kuna wakati hata ukiongea kweli akili haitaki kabisa na ikizidi unaweza hata kuumwa.
 
Umenikumbusha kuna pini moja nilikutana nayo town ,nikaisemesha ikaniambia hapa hakuna utulivu twende tukaongelee kwenye gari yako.Aisee ilibidi nikachekee chooni ,nikapita za nyuma nyuma nikada toyo huyooooo gheto.
Ilitaka isaminishe umepaki chuma gani nje.
Predator strategy
 
Wapi nilikuwa nimetoka kama katibu mwenezi wa chama,mali ikajua hapa uhakika kumbe mfukoni na alfu ishirini na sabaa na nauli ya boda humo humo.
U smart ulikubeba, ungemwambia ipo garage
 
Reactions: EEX
Hilo gazeti lako unategemea kabisa watu tuache shughuli zetu tulisome?
 
Reactions: EEX
Umenikumbusha kuna pini moja nilikutana nayo town ,nikaisemesha ikaniambia hapa hakuna utulivu twende tukaongelee kwenye gari yako.Aisee ilibidi nikachekee chooni ,nikapita za nyuma nyuma nikada toyo huyooooo gheto.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Reactions: EEX
Umenikumbusha kuna pini moja nilikutana nayo town ,nikaisemesha ikaniambia hapa hakuna utulivu twende tukaongelee kwenye gari yako.Aisee ilibidi nikachekee chooni ,nikapita za nyuma nyuma nikada toyo huyooooo gheto.
sasa gari ilikuepo au haikuepo?

au ilikuepo ambayo unaona haifanani na demu mwenyewe?!
 
Reactions: EEX
ulipiga?
 
Umenikumbusha kuna pini moja nilikutana nayo town ,nikaisemesha ikaniambia hapa hakuna utulivu twende tukaongelee kwenye gari yako.Aisee ilibidi nikachekee chooni ,nikapita za nyuma nyuma nikada toyo huyooooo gheto.
Hahahahaah dah!
 
Reactions: EEX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…