Nilimpunja mama mkwe mahari. Jumamosi nimemuongezea nyingine

Same here, nahisi namdhulumu cute wife. She deserves zaidi na zaidi
 
kwani ungeandika ukweli mahali laki 5.7 na mama mkwe umemkatia laki 2.5 kuna shida gani.

kwa mwandiko huu em toa hiyo milioni weka laki.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaaaaaaa!!! Jf haijawai kuboa dadeq
Bro miuno ya paka chongo imekuvuruga!!?
 
Na wewe kipi kimekuchanganya? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani nimecheka na hivi majirani zangu wajeda mtaniponza usiku huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vilivyonichanganya unavijua vizuri tu[emoji1787][emoji1787]

Tusimwage mchele kwenye kuku wengi. Cute wife forever[emoji7]
 
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji8][emoji8] Mtoto wa mama Country unanivuruga wewe
......i know you love me, and the love is true
Na feel the same way, I can't deny. Baby ondiku nole I will die for u...[emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…