Nilimpunja mama mkwe mahari. Jumamosi nimemuongezea nyingine

Inabidi jf members wote tuje kwenye hii thread Kwa pamoja tusaidiane kumshangaa huyu jamaa, haitakiwi ipite hivi hivi.
 
Niliamuwa kuoa. Mwanamke ni mzuri sana. Anajua sana kukata kiuno na kunijali mimi vizuri, nimefurahia sana sasa, naenjoi sana ndoa. Nikawona kweli nililipa mahali kidogo sana ni dhambi kufanya hivyo.

Ni kama miezi miwili nikagundua ile mahari milioni 5.7 ilikuwa dogo sana, nafaidi sana kwa kweli. Jumamosi nikamtumia mama mkwe tsh milion 2.5 kama asanteni kwa kumtunza na kumfundisha vizuri mtoto wake. Ameshukuru sana na kumpigia mtoto wake kuwa ajitunze, aaendeelee kuniheshimu maana wanaume wachache wanafanaya hivyo.

Tumefurahi wote sana na nitaendelea kumutunza mtoto na mama yake ananipenda sana jamani. Mkiona mke anafaa sana muwape taarifa na wazazi wake wajifunze kitu kizuri.
Arosto ya ugoro ni noma
 
Mbona mapema sana DOGO
 
Wewe kweli Guru Guja!!,🦎🦎🦎🦎
 
Safi sana, umefanya vizuri sana, wewe kidume sana, ungemuoa na mama mkwe sana.

Punguza matumizi ya neno SANA chief, imekuwa kama shairi.
 
Back
Top Bottom