Nilimshinda kwa hoja afisa usalama akaondoka kwa aibu

Nilimshinda kwa hoja afisa usalama akaondoka kwa aibu

As long as ni CCM yetu ileile na sio lile genge la upinzani,kila kitu kitakuwa sawa tu maana sisi hatukuathirika moja kwa moja na utawala wa Magufuli...
Jiwe hawezi kuwa Samia na Samia hawezi kuwa Jiwe. Hiyo imeisha sasa Taifa liko huru tena baada ya miaka 5. Hata nyuma tumetawaliwa na maccm lakini si kwa kiburi na jeuri kama za jiwe.

Alitakiwa ajue tu kuwa sisi sote tutapita ila Tz itaendelea kuwepo. Kwahiyo alitakiwa aongoze kwa hekima na busara. Wote waliongoza kwa hekima na busara hadi muda huu Mungu anawapigania na kuendelea kuishi.
 
Wanaojipata nakwambia hawajui lolote
Nakubaliana na wewe kwa kiasi Fulani, wengi wanaojimwambafy ni kutafuta ujiko tu,

Lakini nyakati hizi tiss mbona wanajulikana tu, wengine wako pale nyuma ya ikulu kota zao, wengine pale mikocheni nyuma ya kairuki mission hospital, wengine kule makumbusho!
 
Alhamisi mapema nikiwa job tukiwa tumepata taarifa ya msiba wa Rais Magufuli,tukiwa hatujui pa kushika au pakuachia alikuja afisa mmoja wa usalama kikazi...
Hujamuelewa aliposema viatu, ugali at stake 😂
 
Afisa usalama ni mtu anayefanya kazi za usalama.
Sijasema ni rafiki yangu. Tumefahamiana kazini, huwa ni mdau wetu kwa namna moja. Hata namba yake ya simu sina na siihitaji
Ulimfahamu vipi hapo kazini au niwawilaya .sikweli afahamike hatakama ofisi moja au sikuhizi wanavaa uniform.
 
Ulimfahamu vipi hapo kazini au niwawilaya .sikweli afahamike hatakama ofisi moja au sikuhizi wanavaa uniform.
Daaahhh. Hivi unajua maana ya neno mdau?
Kuna huduma huwa anakuja kuipata ofisini kwetu.
Wanajificha mtaani huko lakini wanapokuwa ofisi ya serikali kuhitaji huduma watajificha vipi?
 
Huyo hakuwa afisa usalama alikuwa mhuni, ma afisa usalama wa kweli huwa hawajulikani hata na wake zao.
Wake huwa wanajua. Maana hufanyiwa uchunguzi na idara kabla ya kuruhusu. Ila haina guarantee ya 100%.
 
Daaahhh. Hivi unajua maana ya neno mdau?
Kuna huduma huwa anakuja kuipata ofisini kwetu.
Wanajificha mtaani huko lakini wanapokuwa ofisi ya serikali kuhitaji huduma watajificha vipi?
Me nachojua hawatakiwi kufahamika popote ila kama mdau wako ishala
 
Alhamisi mapema nikiwa job tukiwa tumepata taarifa ya msiba wa Rais Magufuli,tukiwa hatujui pa kushika au pakuachia alikuja afisa mmoja wa usalama kikazi.

Nikampokea nikasalimiana naye vizuri as usual. Ila siku hii hakuchangamka sana kutokana na taharuki ya msiba.

Nikamwambia kila kitu kitaenda vizuri kwani mama Samia yupo na ndiye atatawazwa kuwa Rais.

Akaniuliza , je, ataweza kuvaa viatu vya Magufuli?

Nami nikamjibu kwa kumuuliza maswali mafupi?

Nikamuuliza:
Je, akiapishwa si atakuwa Rais kamili?

Rais Magufuli alivaa viatu vya Kikwete?

Je, kuna ulazima wa Rais aliyeko madarakani kuiga au kuvaa viatu vya Rais aliyepita?.

Kama Kila Rais aliyeko madarakani ataiga mienendo ya Rais aliyepita huoni kuwa tutarudi miaka ya 1963 kipindi Nyerere anatawala?

Alikosa majibu akasema Magufuli aliweka nchi mbele. Nikamuuliza Samia ataweka nini mbele?.

Daaahhh sijui atakwenda kunichomekea huko aendako.

Atajua mwenyewe.
Nawe ulitoa majibu ya hovyo tu! Nini maana ya taifa kama kila anayekuja hafuati mwenzake alielekea wapi? That was majibu ya mtaani, kijiweni, less thoughtful!
 
UT ni gari za uhamiaji comrade
Jamaa kaona aibu hadi amefuta comment yake "Uhamiaji Tanzania - UT" anasema ni Usalama wa Taifa. Usalama wa Taifa magari yao ni namba za kawaida yaani T 123 XYZ plate ya njano kama kawaida. Sema mamba zao huwa zina mfuatano ambao kwa wanaoelewa huwa rahisi kujua. Mfano kwa sasa tumefika kwenye D number, angalia iliyokua mbele ya msafara wa mwili wa JPM Dodoma ni T 107 DPE, kwa Dar ilikua ni T .... DPE. Kesho angalia Zanzibar, then Mwanza na Geita/Chato, utaona T... DPE hivyo hivyo. Tofauti ni hapo kwenye number tu.
 
Alhamisi mapema nikiwa job tukiwa tumepata taarifa ya msiba wa Rais Magufuli,tukiwa hatujui pa kushika au pakuachia alikuja afisa mmoja wa usalama kikazi.

Nikampokea nikasalimiana naye vizuri as usual. Ila siku hii hakuchangamka sana kutokana na taharuki ya msiba.

Nikamwambia kila kitu kitaenda vizuri kwani mama Samia yupo na ndiye atatawazwa kuwa Rais.

Akaniuliza , je, ataweza kuvaa viatu vya Magufuli?

Nami nikamjibu kwa kumuuliza maswali mafupi?

Nikamuuliza:
Je, akiapishwa si atakuwa Rais kamili?

Rais Magufuli alivaa viatu vya Kikwete?

Je, kuna ulazima wa Rais aliyeko madarakani kuiga au kuvaa viatu vya Rais aliyepita?.

Kama Kila Rais aliyeko madarakani ataiga mienendo ya Rais aliyepita huoni kuwa tutarudi miaka ya 1963 kipindi Nyerere anatawala?

Alikosa majibu akasema Magufuli aliweka nchi mbele. Nikamuuliza Samia ataweka nini mbele?.

Daaahhh sijui atakwenda kunichomekea huko aendako.

Atajua mwenyewe.
Huyo ni wale UVCCM wa kisukuma waliosokomezwa idarani.
 
Enzi hizo pia tuliambiwa nani Atavaa viatu vya Mwalimu?

Tutapata lini tena Rais kama Mwalimu?

Ila yote hayo yalianzia baada ya mwalimu kutaka kuachia ngazi na walipokua wanamsihi abaki kumbe ni kwa interest zao! Same na utawala wa jiwe
 
Back
Top Bottom