Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora wamekuhisi mchawi unaweza kuwaelewesha hata kwa kwenda kuombewa kudhibitisha.Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla
Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka
Nikaanza kumshirikisha mama yangu mzazi nikajua atafurahi
Jambo la kushangaza akashtuka sana baada ya muda kidogo kila nikiongea nae ananambia kuna utajiri wa kafara isijekuwa nimejiunga nikadhani labda ameongea tu lakini kila mara anasema maeneno hayo hayo
Kwahiyo leo nagundua kuwa tayari ananiita mchawi
Kuna kaka yangu naye ni mlokole anasali kanisa la Gwajma kwa miaka yote na mwamini lakini huwezi kuamini siku anakuja kwangu alipoondoka alianza kunizungumzia habari za kafara
Naona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Inawezekanaje mama yako mzazi anathubutu kukutamkia maneno kama haya ni dhahiri nimezaliwa familia yenye laana ya mafanikio
Unathubutuje kumshutumu mtu kuwa ana mali za kafara wakati pesa kapata kupitia betting
Watu wengi wanasema kuzaliwa bongo ni nuksi kwakweli nimeona
😅😅Nitawaacha waongee wamalize nitamaliza kikao kwa kuonesha ukweli lakini siku hiyo ndiyo uhusiano wetu nitavunja na sitawasamehe
Acha tu ndugu yangu hii nchi inanukaa laana ya mafanikio ukipata kidogo tayari mchawiBora wamekuhisi mchawi unaweza kuwaelewesha hata kwa kwenda kuombewa kudhibitisha.
Siku hizi watu wakikuona una mafanikio wanasema unaliwa kinyewo. Sasa namna ya kuwadhibitishia huliwi ndio shida yenyewe....
Ukionekana na washkaji zako wanakuambia ndio mabasha wake.
Ila pole sana.
Kama hauwezi hata kutuoyesha hata sisi huo/hiyo mikeka, basi basi wewe mdau wa kidonda au member wa jicho la tatu la chief godlove 😄Hapana siwezi kufanya hivyo
Kwakweli umenishauri jambo kubwa sana mkuu natafanya hivyoNakuelewa unayopitia kiongozi,niseme POLE..jaribu kumshirikisha kiongozi wa Kiroho,mueleze ulichokifanya upande wako,kauli za mama ,na unavyojisikia...
Mama ataitwa na utapata wasaa mpya wakumuelewesha, na kiongozi wa kiroho atamuonya mama kwa hayo akuneneayo,na naamini mama atabadilika
Mchukue Mama yako mpeleke Mwenye hiyo Kampuni aonane na maofsa wa hapo wamueleweshe. Usichukie na wala usdharau wasiwasi wa Mama yako, yeye kama mzazi ana wajibu huoAsante sana mkuu, imebidi nionane na ile kampuni ya betting tumekaa chini tukaongea sana kwakweli wamesikitika sana wakanambia sina bahati ya mama, nimezaliwa familia mbaya
NakaziaScreenshot mkeka ulioshinda, umtumie kama evidence
𝔸𝕜𝕚𝕗𝕒𝕟𝕪𝕒 𝕙𝕚𝕧𝕪𝕠 𝕟𝕚𝕚𝕥𝕖 𝕞𝕓𝕨𝕒 𝕟𝕚𝕜𝕠 𝕡𝕒𝕝𝕖 𝕟𝕚𝕞𝕖𝕜𝕒𝕒!Screenshot mkeka ulioshinda, umtumie kama evidence
Sitampeleka namsubiri atapike maneno yote machafu ili nijue nina mama wa aina gani kisha badae nifunge kitabu kwa kuthibitisha na kumpa mgongo ili Mungu amlipe, haiwezekani mimi naishi maisha ya kumcha Mungu leo nalipwa kuitwa mtoa kafaraMchukue Mama yako mpeleke Mwenye hiyo Kampuni aonane na maofsa wa hapo wamueleweshe. Usichukie na wala usdharau wasiwasi wa Mama yako, yeye kama mzazi ana wajibu huo
Yawezekana kweli umeanza mambo ya manyoka,maana ingekua umeshinda kwa betting si evidence zipo na ungewaonyesha naamini ata JF usingeandikaMimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla
Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka
Nikaanza kumshirikisha mama yangu mzazi nikajua atafurahi
Jambo la kushangaza akashtuka sana baada ya muda kidogo kila nikiongea nae ananambia kuna utajiri wa kafara isijekuwa nimejiunga nikadhani labda ameongea tu lakini kila mara anasema maeneno hayo hayo
Kwahiyo leo nagundua kuwa tayari ananiita mchawi
Kuna kaka yangu naye ni mlokole anasali kanisa la Gwajma kwa miaka yote na mwamini lakini huwezi kuamini siku anakuja kwangu alipoondoka alianza kunizungumzia habari za kafara
Naona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Inawezekanaje mama yako mzazi anathubutu kukutamkia maneno kama haya ni dhahiri nimezaliwa familia yenye laana ya mafanikio
Unathubutuje kumshutumu mtu kuwa ana mali za kafara wakati pesa kapata kupitia betting
Watu wengi wanasema kuzaliwa bongo ni nuksi kwakweli nimeona
ExactlyUnapomuambia mtu kuwa una mradi basi jitahidi pia kumueleza chanzo cha fedha zako.
Haiwezekani kijana amemaliza tu chuo, alafu mwezi unaofata una nyumba tayari na gari la kutembelea.
Mzazi atakayefurahia bila ya kujua chanzo cha mapato yako, hakupendi. Na pengine wazazi wetu wa kiafrika mawazo yao yataenda huko kwenye ulozi.
Hivyo, ungepaswa kumuambia mama nilishinda mkeka. Nikapata kiasi kadhaa na nikaamua kujenga nyumba hii. Angekuwa na amani na chanzo cha mapato yako.
Ni hofu na huyo jamaaUnachokiandika unakielewa kweli?
Mbona kama chizi fresh?
We!!!! Hakuna mama mbaya unaelewa unachokiongeaNiliyemweleza ni mama yangu, kwanza kabisa kitendo cha yeye kuthubutu kunipakazia maneno ya laana kama haya tayari nina mama mbaya
Wewe umeamuaje?, ukiwa mjinga utarudi kwenye zero waache na ujinga wao betting haikupi pesa kila mara uenda ndo bahati yako kilichobaki tafuta pesa ya Kula na kuvaa wewe sio kama wengine wasio na hata Banda la kulala kila siku wanakimbia Kodi ya chumba. Umeipata mwanzo mzuri.Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla