enzo1988
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,838
- 7,346
Mh! Ngoja tumeze si unajua bongo huitaji kuwa akili!imebidi nionane na ile kampuni ya betting tumekaa chini tukaongea sana kwakweli wamesikitika sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh! Ngoja tumeze si unajua bongo huitaji kuwa akili!imebidi nionane na ile kampuni ya betting tumekaa chini tukaongea sana kwakweli wamesikitika sana
Maadamu mimi sio mtoa kafara nabebeshwa mzigo wa punda sina budi kujiondoa kwenye familia ambazo zinalipa wanafamilia wao ubayaNingeshangaa sana kama mama na ndg zako wengine wangeshangilia kama mazezeta ili hali zama hizi ndg wanatolewa kafara kama mbuzi
Kaa chini ongea nao waonyeshe mkeka ulioshindaMimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla
Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka
Nikaanza kumshirikisha mama yangu mzazi nikajua atafurahi
Jambo la kushangaza akashtuka sana baada ya muda kidogo kila nikiongea nae ananambia kuna utajiri wa kafara isijekuwa nimejiunga nikadhani labda ameongea tu lakini kila mara anasema maeneno hayo hayo
Kwahiyo leo nagundua kuwa tayari ananiita mchawi
Kuna kaka yangu naye ni mlokole anasali kanisa la Gwajma kwa miaka yote na mwamini lakini huwezi kuamini siku anakuja kwangu alipoondoka alianza kunizungumzia habari za kafara
Naona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Inawezekanaje mama yako mzazi anathubutu kukutamkia maneno kama haya ni dhahiri nimezaliwa familia yenye laana ya mafanikio
Unathubutuje kumshutumu mtu kuwa ana mali za kafara wakati pesa kapata kupitia betting
Watu wengi wanasema kuzaliwa bongo ni nuksi kwakweli nimeona
Asante sana mkuu, imebidi nionane na ile kampuni ya betting tumekaa chini tukaongea sana kwakweli wamesikitika sana wakanambia sina bahati ya mama, nimezaliwa familia mbaya
Ndugu yangu unahangaikaje kuwathibitishia watu mali zako ni kuwaacha watapike wamalize, binadamu hata umfanyie wema kiasi gani bado atakusemaMpaka sasa sjaona mkeka wa muhindi. So kuna mawili
1. Story ni chai
2. Wewe ni mchawi kweli
Betting ni kamari rasmiTatizo ukikosa hela ya kubeti na nyumba utauza.
Betting nayo ni kama kamari
Naona hapo ni kuwaambia tu ukweli hela umepata wapi? Umeficha wao watajuaje?Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla
Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka
Nikaanza kumshirikisha mama yangu mzazi nikajua atafurahi
Jambo la kushangaza akashtuka sana baada ya muda kidogo kila nikiongea nae ananambia kuna utajiri wa kafara isijekuwa nimejiunga nikadhani labda ameongea tu lakini kila mara anasema maeneno hayo hayo
Kwahiyo leo nagundua kuwa tayari ananiita mchawi
Kuna kaka yangu naye ni mlokole anasali kanisa la Gwajma kwa miaka yote na mwamini lakini huwezi kuamini siku anakuja kwangu alipoondoka alianza kunizungumzia habari za kafara
Naona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Inawezekanaje mama yako mzazi anathubutu kukutamkia maneno kama haya ni dhahiri nimezaliwa familia yenye laana ya mafanikio
Unathubutuje kumshutumu mtu kuwa ana mali za kafara wakati pesa kapata kupitia betting
Watu wengi wanasema kuzaliwa bongo ni nuksi kwakweli nimeona
Alitakiwa atulie nimweleze sio kuanza kunitusi mshirikina wakati hana uhakika, je ningekuwa mwizi nakashaniita mchawi nayo imekaaje, maisha ya bongo fanikiwa ndio utajuaShukuru amehisi ni mchawi kuliko angehisi umesaliti kiumeni.
Muhimu: Betting ni kamari kama kamari zingine.
Kuanza kufikiria kwamba mama yako hapendi ufanikiwe na ni mbaya kwako basi ujue akili yako haina akili.Alitakiwa atulie nimweleze sio kuanza kunitusi mshirikina wakati hana uhakika, je ningekuwa mwizi nakashaniita mchawi nayo imekaaje, maisha ya bongo fanikiwa ndio utajua
Amepata wapi nguvu ya kuniita mchawi wakati mimi ananijua tangu ananizaa, vilevile alikuwa ananidharau kipindi sina akaona mm ni mbwa ndio maana hata kufanikiwa kwangu anathubutu kunitusi na kukataa mafanikio yangu kanakwamba mimi ni mbwa nimewezajeKuanza kufikiria kwamba mama yako hapendi ufanikiwe na ni mbaya kwako basi ujue akili yako haina akili.
Kwa umri uliokiwa nao unahisi mama yako atakuwa anaelewa hayo maswala ya betting au unakaza fuvu tu na kujiona tayari umefanikiwa?
Ni mchoyo kupindukia alidhani watamuomba ndio maana anafanya mambo yake kimyakimya.Unapomuambia mtu kuwa una mradi basi jitahidi pia kumueleza chanzo cha fedha zako.
Haiwezekani kijana amemaliza tu chuo, alafu mwezi unaofata una nyumba tayari na gari la kutembelea.
Mzazi atakayefurahia bila ya kujua chanzo cha mapato yako, hakupendi. Na pengine wazazi wetu wa kiafrika mawazo yao yataenda huko kwenye ulozi.
Hivyo, ungepaswa kumuambia mama nilishinda mkeka. Nikapata kiasi kadhaa na nikaamua kujenga nyumba hii. Angekuwa na amani na chanzo cha mapato yako.