Nilimshirikisha mama yangu mafanikio yangu nikadhani amefurahi, baada ya muda kila nikiwasiliana naye ananiambia isijekuwa naenda kwa waganga

Issue sio evidence sijashindwa kufanya hivyo natazama jinsi gani familia yangu ina watu wabaya nasubiri watapike na kuhara iwe ndio mwisho wangu kukanyaga kule mana hapo nitakuwa nimesingiziwa nitakuwa sahihi ili dhambi na machozi yangu yawalipe
Unasingiziwaje ambapo ushahidi unao hata hivyo hili swala linaye muuma ni wewe umeleta huku kwa ushauri lkn kumbe wewe ni jiwe Ndiyo maana wanakuhisi vibaya unadhani mtizamo wako ni sahihi, pia kwa haraka haraka nimegundua kwamba wewe ni mbinafsi,( you're selfish)
 
Na shetani alivyombaya atampa kaugonjwa ka wiki moja mama yako, hapo ndugu wanaunganisha dot.
 
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla

Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka
Nikaanza kumshirikisha mama yangu mzazi nikajua atafurahi

Jambo la kushangaza akashtuka sana baada ya muda kidogo kila nikiongea nae ananambia kuna utajiri wa kafara isijekuwa nimejiunga nikadhani labda ameongea tu lakini kila mara anasema maeneno hayo hayo
Kwahiyo leo nagundua kuwa tayari ananiita mchawi

Kuna kaka yangu naye ni mlokole anasali kanisa la Gwajma kwa miaka yote na mwamini lakini huwezi kuamini siku anakuja kwangu alipoondoka alianza kunizungumzia habari za kafara

Naona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Inawezekanaje mama yako mzazi anathubutu kukutamkia maneno kama haya ni dhahiri nimezaliwa familia yenye laana ya mafanikio

Unathubutuje kumshutumu mtu kuwa ana mali za kafara wakati pesa kapata kupitia betting
Watu wengi wanasema kuzaliwa bongo ni nuksi kwakweli nimeona
Wewe ndo fala. Huwezi kutoka from nowhere ukajenga nyumba bila kuwapa maelezo ya kueleweka hela zilipotoka.
It is their duty to make sure huijgii kwenye ujinga wa aidha uchawi, utapeli au ujambazi.

Ulichotakiwa kufanya ni kutoa maelezo ya kuridhisha otherwise i support them.
 
Pesa yoyote ile lazima iwe na maelezo pamoja na ushahidi wa kweli hata kama ulishinda kupitia Casino!!
Ndugu yangu ushahudi haupatikani kwa kupakana mavi, katika maisha tunashauriwa kuwa na subra ya kufahamu mambo, ukitulia kwani hutaelezwa? Wamenikosea sana
 
Pesa yoyote ile lazima iwe na maelezo pamoja na ushahidi wa kweli hata kama ulishinda kupitia Casino!!
Ndio lakini ushahudi haupatikani kwa shari, ukitaka mtu akwambie mambo yake mpe muda sio kumpaka Mavi
 
Inawezekana kuunganisha dot hajui pia, kwa maana hana communication skills
Nilipofika nipo tayari kwa lolote kuliko kuwapenda tena, kama ni mavi wameshanipaka nimeshanuka, hayafai kusafisha tena na nimeshakubali kunuka
 
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla

Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka
Nikaanza kumshirikisha mama yangu mzazi nikajua atafurahi

Jambo la kushangaza akashtuka sana baada ya muda kidogo kila nikiongea nae ananambia kuna utajiri wa kafara isijekuwa nimejiunga nikadhani labda ameongea tu lakini kila mara anasema maeneno hayo hayo
Kwahiyo leo nagundua kuwa tayari ananiita mchawi

Kuna kaka yangu naye ni mlokole anasali kanisa la Gwajma kwa miaka yote na mwamini lakini huwezi kuamini siku anakuja kwangu alipoondoka alianza kunizungumzia habari za kafara

Naona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Inawezekanaje mama yako mzazi anathubutu kukutamkia maneno kama haya ni dhahiri nimezaliwa familia yenye laana ya mafanikio

Unathubutuje kumshutumu mtu kuwa ana mali za kafara wakati pesa kapata kupitia betting
Watu wengi wanasema kuzaliwa bongo ni nuksi kwakweli nimeona
Mama yuko sahihi. Kaka kaa muaminishe kuwa hujaenda huko
Mama anakupenda Kuliko mafanikio yako
Hata usipofanikiwa anakupenda. Huyo Ndie Mama
 
Siwezi kuthibitisha fedha halali mimi sio mwizi namwachia Mungu amlipe

Siwezi kuhangaika kumthibitishia kana kwamba nimeiba naendelea kumtazama jinsi alivyo na mdomo mchafu nikichoka basi nitaamua kukaa mbali na yeye akae mbali na maisha yangu
Je jeshi la Polisi likitaka uthibitishe pesa za kujenga hiyo nyumba utajibu hivyo kua huwezi kuthibitisha kwa kua wwe siyo mwizi!!?? Kijana weka wazi kila kitu kwa mzazi wako,tena mi ningekua Baba yako ninge hisi umejiunga na kile chama cha upinde na ndiyo fedha yako inakotoka!!
 
Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla

Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka
Nikaanza kumshirikisha mama yangu mzazi nikajua atafurahi

Jambo la kushangaza akashtuka sana baada ya muda kidogo kila nikiongea nae ananambia kuna utajiri wa kafara isijekuwa nimejiunga nikadhani labda ameongea tu lakini kila mara anasema maeneno hayo hayo
Kwahiyo leo nagundua kuwa tayari ananiita mchawi

Kuna kaka yangu naye ni mlokole anasali kanisa la Gwajma kwa miaka yote na mwamini lakini huwezi kuamini siku anakuja kwangu alipoondoka alianza kunizungumzia habari za kafara

Naona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Inawezekanaje mama yako mzazi anathubutu kukutamkia maneno kama haya ni dhahiri nimezaliwa familia yenye laana ya mafanikio

Unathubutuje kumshutumu mtu kuwa ana mali za kafara wakati pesa kapata kupitia betting
Watu wengi wanasema kuzaliwa bongo ni nuksi kwakweli nimeona
Tukiwa maskinitabu,tukiwa matajiri tabu
 
Je jeshi la Polisi likitaka uthibitishe pesa za kujenga hiyo nyumba utajibu hivyo kua huwezi kuthibitisha kwa kua wwe siyo mwizi!!?? Kijana weka wazi kila kitu kwa mzazi wako,tena mi ningekua Baba yako ninge hisi umejiunga na kile chama cha upinde na ndiyo fedha yako inakotoka!!
Dawa ya watu kama nyie ni kuwaigizia hayo mambo mnayosingizia watu ili muendelee kuchanganyikiwa na kupasuka vizuri
Hata kama sio mchawi ukaniita mchawi nitakuambia tena natoa kafara
Kama utaniita mimi ni shoga nitakwambia ulichelewa kufahamu
Ili sasa muendelee kuchangamka
 
Haiwezekani kijana amemaliza tu chuo, alafu mwezi unaofata una nyumba tayari na gari la kutembelea.

Mzazi atakayefurahia bila ya kujua chanzo cha mapato yako, hakupendi. Na pengine wazazi wetu wa kiafrika mawazo yao yataenda huko kwenye ulozi.
hakika kabisa, hata mimi ningewaza wizi, madawa ya kulevya au amemtapeli mtu.

Mpaka hapa anaeleza mimi siamini kama kuna ushindi wa betting kubwa kihivyo mpaka akaweza kujenga nyumba ghafla. Hebu nyinyi wataalamu wa betting wekeni hapa kiwango cha juu cha malipo ni shilngi ngapi?
 
Back
Top Bottom