Barbiedoll
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 772
- 2,150
Cha muhimu hapa tuelekeze nasi ulivyobeti ili nasi tupate pesa za kujenga mijengo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Havijatosha kumalizia vimekata gari haikupatikana ndugu kupata hela ya kujenga nyumba mpaka umalize kabisa sio rahisi, nyumba inakula sanaNikapata nyumba ya gafla 🤣
Mkuu umelipa kodi ya serikali?
Baada ya kujenga vipesa vimebaki au vimeisha?
Ulinunua na chombo cha moto? Wasiwasi wa mama hiki chombo cha moto ndo kitakuua
Vipesa kama bado vipo, na kama unachombo cha moto, utakula bata ulewe alafu uendeshe usiku upate ajali ufe, lazima mama awe na wasiwasi.
Muda huu kaishakuweka kwenye maombi ili usimpeleke kafara🤣 kwahiyo lazima ufe wewe maana hata mtoto wa kumtoa kafara huna ( aisee natania namuwaza tu mama anavyo lala na rozali mkononi akiomba🤣🤣🤣🤣🤣)
Msamaha wa kazi gani kwani hayo anayoropoka ya kweli? Yeye na mimi mbaya ni nani kuropoka maneno asiyokuwa na uhakika nayo hiyo anaona ni akili?Kwanini kila mdau anaekuambia muonyeshe ushahidi wa kushinda betting unazingua?
Vijana wengi mnalala na majoka siku hizi
Hata mimi nisingekubali
Hivi unawezaje kumuita mama yako muongo?
Aisee kamuombe radhi haraka sana la sivyo hutaishi kwa amani na huto tuhela unatojivunia
Hela ni mapambo tu na huwa zinaisha ila upendo wa mama hauishi
Uwe na siku njema
Kodi nimelipa ndio, kodi inakatwa palepale nabado kila unachonunua au kumiliki unakatwa, huwezi kukwepa kodiNikapata nyumba ya gafla 🤣
Mkuu umelipa kodi ya serikali?
Baada ya kujenga vipesa vimebaki au vimeisha?
Ulinunua na chombo cha moto? Wasiwasi wa mama hiki chombo cha moto ndo kitakuua
Vipesa kama bado vipo, na kama unachombo cha moto, utakula bata ulewe alafu uendeshe usiku upate ajali ufe, lazima mama awe na wasiwasi.
Muda huu kaishakuweka kwenye maombi ili usimpeleke kafara🤣 kwahiyo lazima ufe wewe maana hata mtoto wa kumtoa kafara huna ( aisee natania namuwaza tu mama anavyo lala na rozali mkononi akiomba🤣🤣🤣🤣🤣)
Betting unatuliza akili usifanye kwa ulevi pia bet mechi unazoona kabisa una uhakika sio kila mechi ya kubahatisha, fuatilia historia ya wachezaji hasa ufungaji wao na timu zao, kwa akili ya kawaida huwezi kusema Manchester itafungwa goli tano kwahiyo angalia historia ya timu na wachezaji wake, unapoona mechi huna uhakika nayo usibahatisheCha muhimu hapa tuelekeze nasi ulivyobeti ili nasi tupate pesa za kujenga mijengo
Acha hadaa mkuuMimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla
Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka
Nikaanza kumshirikisha mama yangu mzazi nikajua atafurahi
Jambo la kushangaza akashtuka sana baada ya muda kidogo kila nikiongea nae ananambia kuna utajiri wa kafara isijekuwa nimejiunga nikadhani labda ameongea tu lakini kila mara anasema maeneno hayo hayo
Kwahiyo leo nagundua kuwa tayari ananiita mchawi
Kuna kaka yangu naye ni mlokole anasali kanisa la Gwajma kwa miaka yote na mwamini lakini huwezi kuamini siku anakuja kwangu alipoondoka alianza kunizungumzia habari za kafara
Naona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Inawezekanaje mama yako mzazi anathubutu kukutamkia maneno kama haya ni dhahiri nimezaliwa familia yenye laana ya mafanikio
Unathubutuje kumshutumu mtu kuwa ana mali za kafara wakati pesa kapata kupitia betting
Watu wengi wanasema kuzaliwa bongo ni nuksi kwakweli nimeona
usipoteze muda kumwelekeza mjinga bila kujali ni nan yakoMimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla
Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka
Nikaanza kumshirikisha mama yangu mzazi nikajua atafurahi
Jambo la kushangaza akashtuka sana baada ya muda kidogo kila nikiongea nae ananambia kuna utajiri wa kafara isijekuwa nimejiunga nikadhani labda ameongea tu lakini kila mara anasema maeneno hayo hayo
Kwahiyo leo nagundua kuwa tayari ananiita mchawi
Kuna kaka yangu naye ni mlokole anasali kanisa la Gwajma kwa miaka yote na mwamini lakini huwezi kuamini siku anakuja kwangu alipoondoka alianza kunizungumzia habari za kafara
Naona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Inawezekanaje mama yako mzazi anathubutu kukutamkia maneno kama haya ni dhahiri nimezaliwa familia yenye laana ya mafanikio
Unathubutuje kumshutumu mtu kuwa ana mali za kafara wakati pesa kapata kupitia betting
Watu wengi wanasema kuzaliwa bongo ni nuksi kwakweli nimeona
Unahangaikaje kutolea watu ushahidi wa hela zako ulizopata kwa jasho wao wamekupa ushahidi wao pia? Mimi sio mdhaifu kiasi hicho ni sawa na nyoka unaeza mfanyia mengi ila kuna kiasi, unakubalije kutawaliwa kama boya usiejielewa? Lazima ukomae ikiwezekana utafuta panga la kufyeka washenzi, lazima uoneshe ukali na ukatili wakoKwanini kila mdau anaekuambia muonyeshe ushahidi wa kushinda betting unazingua?
Vijana wengi mnalala na majoka siku hizi
Hata mimi nisingekubali
Hivi unawezaje kumuita mama yako muongo?
Aisee kamuombe radhi haraka sana la sivyo hutaishi kwa amani na huto tuhela unatojivunia
Hela ni mapambo tu na huwa zinaisha ila upendo wa mama hauishi
Uwe na siku njema
Tafuta mama mwingine na ndugu wengine... Wewe inaonekana hujitambui humuheshimu mzaz, unajiona unaiweza dunia ila nakuahidi ipo siku ngumu na chungu utamrudia mama yako lakini hutamkuta tena... Hakuna kitu utafanya hapa duniani bila baraka za wazaz wako, hata kama unataka kufanya mambo yako kwa siri mzaz ana nafas yake ya kujua...We nae walewale hamuamini pesa zinapatika nje ya kafara, kuzaliwa bongo ni hasara sana, unaitwa mchawi na mtoa kafara wakati hata dawa ya kuoga kwa mganga hujawahi gusa tangu unazaliwa
Kwanini ujitese kumthibitishia mtu mali zako ulizopata kwa jasho, wakuthibitisha ni wezi na sio mm, nasubiri wamalize kutapika nijitenge nao
Yaani leo Mama yako mzazi unamuona nyoka kisa tu anataka kujua chanzo chako cha mapato!? Futa kauli yako,utakuja nakumbuka siku moja!!Ndugu yangu pata ufahamu jinsi gani unaishi na nyoka
Wwe lipia tangazo,umetumwa na watu wa betting utuingize chaka la kucheza kamari!!Ndugu yangu betting ina hela mimi shahidi, kama unafanya jipe moyo na muda kuna siku utakuja na ushindi hapa na utanikumbuka, ila sasa usisiendekeze mana ule pia ni ulevi
Wewe vaa viatu vya mama ata ungekuwa wewe ndo mama lazima ustuke uwenda mwanao kaingia maagano na mashetani na soon atakutoa kikoa wewe muambia source ya income Yako by vivid evidence hapo atokuwa na shaka nawe vinginevyo akuna atakaye kuelewaNiliyemweleza ni mama yangu, kwanza kabisa kitendo cha yeye kuthubutu kunipakazia maneno ya laana kama haya tayari nina mama mbaya
hiyo kamari ndiyo jasho?Kwanini ujitese kumthibitishia mtu mali zako ulizopata kwa jasho, wakuthibitisha ni wezi na sio mm, nasubiri wamalize kutapika nijitenge nao