Nilimshirikisha mama yangu mafanikio yangu nikadhani amefurahi, baada ya muda kila nikiwasiliana naye ananiambia isijekuwa naenda kwa waganga

Mafanikio yako keep it to yourself, of all things nimejifunza mpaka umri huu
 
Ndugu yangu betting ina hela mimi shahidi, kama unafanya jipe moyo na muda kuna siku utakuja na ushindi hapa na utanikumbuka, ila sasa usisiendekeze mana ule pia ni ulevi
 
mkuu inategemea.... Mfano mimi mwezi uliopita nilipata 1,100,000 ndani ya siku 5 kwa mtaji wa 34,000.
 
Asante sana mkuu, imebidi nionane na ile kampuni ya betting tumekaa chini tukaongea sana kwakweli wamesikitika sana wakanambia sina bahati ya mama, nimezaliwa familia mbaya
😳😳
 
Ndugu yangu betting ina hela mimi shahidi, kama unafanya jipe moyo na muda kuna siku utakuja na ushindi hapa na utanikumbuka, ila sasa usisiendekeze mana ule pia ni ulevi
hapana ile inaishia kukufilisi, wachina siyo wajinga
 
mkuu inategemea.... Mfano mimi mwezi uliopita nilipata 1,100,000 ndani ya siku 5 kwa mtaji wa 34,000.
Sasa si unaona, na ipo siku utaondoka na hela ambayo katika maisha yako itakuwa historia, wewe jipe muda jinenee kuwa ipo siku utatoka ni swala la muda, cheza kwa akili sana
 
Kubeti ni kazi kama KAZI zingine tunaomba heshima zetu.



KAZI ni kipimo cha UTU
 
Hili ni somo kwa tunaobeti maana baadhi yetu huwa tunafanya kwa siri kama madawa ya kulevya hata wake zetu hawajui.

Imefika kipindi hata zile msg za betika "Hongera bingwa! umeshinda TZS 825,750 Wewe ni anstopabo"

Sasa bahati mbaya hiyo msg ikiingia mbele ya mkeo, unaikana kwamba watakuwa matapeli maana hujui na haujawahi kubeti kwanza wanaobeti hawana akili.
 
Nikapata nyumba ya gafla 🤣

Mkuu umelipa kodi ya serikali?

Baada ya kujenga vipesa vimebaki au vimeisha?
Ulinunua na chombo cha moto? Wasiwasi wa mama hiki chombo cha moto ndo kitakuua

Vipesa kama bado vipo, na kama unachombo cha moto, utakula bata ulewe alafu uendeshe usiku upate ajali ufe, lazima mama awe na wasiwasi.

Muda huu kaishakuweka kwenye maombi ili usimpeleke kafara🤣 kwahiyo lazima ufe wewe maana hata mtoto wa kumtoa kafara huna ( aisee natania namuwaza tu mama anavyo lala na rozali mkononi akiomba🤣🤣🤣🤣🤣)
 
Wapuuze,fanya mambo yako kimyakimya.
Usifuatilie taarifa zao na ikiwezekana uwe unakuwa wa mwisho kuzipata.
JIKUBALI HATA WASIPOKUKUBALI.
 
Kuna mkenya alishinda Sport Pesa Bil 4.

#YNWA
 
Niliyemweleza ni mama yangu, kwanza kabisa kitendo cha yeye kuthubutu kunipakazia maneno ya laana kama haya tayari nina mama mbaya
Dogo unamuita mama yako mbaya?? Ukapimwe akili
 
The only person conditioned to love you ndio anatoa faili zako mkuu,Sina hata la kushauri ama spichi less
 
Kwanini kila mdau anaekuambia muonyeshe ushahidi wa kushinda betting unazingua?
Vijana wengi mnalala na majoka siku hizi
Hata mimi nisingekubali
Hivi unawezaje kumuita mama yako muongo?
Aisee kamuombe radhi haraka sana la sivyo hutaishi kwa amani na huto tuhela unatojivunia
Hela ni mapambo tu na huwa zinaisha ila upendo wa mama hauishi

Uwe na siku njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…