Nilimshirikisha mama yangu mafanikio yangu nikadhani amefurahi, baada ya muda kila nikiwasiliana naye ananiambia isijekuwa naenda kwa waganga

Cha muhimu hapa tuelekeze nasi ulivyobeti ili nasi tupate pesa za kujenga mijengo
 
Sasa shehe siumwambie bi mkubwa ulibutua jackpot maana ghafla tu una nyumba na ulijulikana kama kapuku lazima watu wawe na wasi wasi.
Mtu atahisi aidha umejiunga freemason au una biashara haramu (kuuza unga, kutakatisha fedha n.k)
Waelekeze ndugu zako wajuwe!
 
Havi
Havijatosha kumalizia vimekata gari haikupatikana ndugu kupata hela ya kujenga nyumba mpaka umalize kabisa sio rahisi, nyumba inakula sana
 
Ms
Msamaha wa kazi gani kwani hayo anayoropoka ya kweli? Yeye na mimi mbaya ni nani kuropoka maneno asiyokuwa na uhakika nayo hiyo anaona ni akili?
 
Kodi nimelip
Kodi nimelipa ndio, kodi inakatwa palepale nabado kila unachonunua au kumiliki unakatwa, huwezi kukwepa kodi
 
Cha muhimu hapa tuelekeze nasi ulivyobeti ili nasi tupate pesa za kujenga mijengo
Betting unatuliza akili usifanye kwa ulevi pia bet mechi unazoona kabisa una uhakika sio kila mechi ya kubahatisha, fuatilia historia ya wachezaji hasa ufungaji wao na timu zao, kwa akili ya kawaida huwezi kusema Manchester itafungwa goli tano kwahiyo angalia historia ya timu na wachezaji wake, unapoona mechi huna uhakika nayo usibahatishe
 
Acha hadaa mkuu

Mama yako anakujua vizuri😎
 
u
usipoteze muda kumwelekeza mjinga bila kujali ni nan yako
 
Unahangaikaje kutolea watu ushahidi wa hela zako ulizopata kwa jasho wao wamekupa ushahidi wao pia? Mimi sio mdhaifu kiasi hicho ni sawa na nyoka unaeza mfanyia mengi ila kuna kiasi, unakubalije kutawaliwa kama boya usiejielewa? Lazima ukomae ikiwezekana utafuta panga la kufyeka washenzi, lazima uoneshe ukali na ukatili wako
 
Tafuta mama mwingine na ndugu wengine... Wewe inaonekana hujitambui humuheshimu mzaz, unajiona unaiweza dunia ila nakuahidi ipo siku ngumu na chungu utamrudia mama yako lakini hutamkuta tena... Hakuna kitu utafanya hapa duniani bila baraka za wazaz wako, hata kama unataka kufanya mambo yako kwa siri mzaz ana nafas yake ya kujua...
Usijione umeyapatia maisha, wenzako tumevuka hizo hatua tumefanya mambo makubwa ila wazaz hatukuacha kuwashirikisha ili tu tupate baraka zao...
All in all ni maisha yako na unaonekana una amini sana ushirikina maana maelezo yako unachambua sana ushirikina kama umezaliwa nao... Go to hell idiot
 
Aisee, nimecheka sana, hahaha
Zoea mkuu, ndo laana zenyewe hizo za kuzaliwa afrika. Mimi kipindi nafanya savings za kuja kununua Scania 113 enzi hizo, dada yangu aliwahi kusema “hela zako zote unawahonga wanawake ndo maana hauna kitu” haha. Niliumia sana maana kipindi anaongea hivyo nilikuwa nimebakiza kama 6-8M nikanunue chuma. Yote yaliisha alivyoona nimeshusha chuma changu.
 
Ndugu yangu pata ufahamu jinsi gani unaishi na nyoka
Yaani leo Mama yako mzazi unamuona nyoka kisa tu anataka kujua chanzo chako cha mapato!? Futa kauli yako,utakuja nakumbuka siku moja!!
 
Ndugu yangu betting ina hela mimi shahidi, kama unafanya jipe moyo na muda kuna siku utakuja na ushindi hapa na utanikumbuka, ila sasa usisiendekeze mana ule pia ni ulevi
Wwe lipia tangazo,umetumwa na watu wa betting utuingize chaka la kucheza kamari!!
 
Ukweli unajua wee mwenyewe ndugu. Wanataka kuona vyanzo vya mapati yako halali
 
Niliyemweleza ni mama yangu, kwanza kabisa kitendo cha yeye kuthubutu kunipakazia maneno ya laana kama haya tayari nina mama mbaya
Wewe vaa viatu vya mama ata ungekuwa wewe ndo mama lazima ustuke uwenda mwanao kaingia maagano na mashetani na soon atakutoa kikoa wewe muambia source ya income Yako by vivid evidence hapo atokuwa na shaka nawe vinginevyo akuna atakaye kuelewa
 
Me nahisi kweli una ushirikina
Na uchawi wenyewe ni umepata pesa nyingi kama hizo unazitumia kimya kimya bila hata mama aliyepanua miguu kukuleta duniani kujua
Umejenga nyumba mpaka inaisha ndio unasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…