Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi naomba odds 5 za haraka mkuuSina uchawi wowote basi tu ni mtu unazaliwa unawekwa fungu la kukosa kila ufanyalo hustahili
Ilitokea tu kama bahati lakini siri ya kifanikiwa ni kudeal na timu zenye historia ya kueleweka sio kila mechi ya kuweka dau, angalia mechi ambazo hata ww mwenyewe akili inakwambia mchezo utaendaje, usifanye kwa ulevi zingatia sio kila mechi ya kuweka dau, soma historia ya team na wachezaji wake kuhusu ufungaji wao ukoje kwenye mechi zaoBasi naomba odds 5 za haraka mkuu
Mkuu siyo uchawi,nina jamaa yangu amemjengea nyumba mama yake Dodoma na nyingine anapangisha kwasababu ya betting........anamtaji timu tatu anaweka Laki siku akila anakula mzigo hasa,akiliwa analiwa kweli kweli,so kupanga ni kuchaguaIla wee jamaa ni mchawi yaan umemkula muhindi mpk umeshusha mjengo ulikua na odds ngapi masta
Hakuna wanachofundishwa pale zaidi ya kuzimu na uchawi familia zote nyingi za walokole wa pale zimesambaratika kwa maneno yakeKama Kaka yako anasali kwa Gwaji boy,huyo ndiyo kamumpa sumu mama yako,wengi wanaosali pale wananapoteza uwezo wa kufikiria,nikama wapo gizani nina mifano kadhaa
Na huyo inamana amekula pesa nyingi wala simfikii hata kidogo watu wamefanikiwa sana na betting ninwatu tu hawajuiMkuu siyo uchawi,nina jamaa yangu amemjengea nyumba mama yake Dodoma na nyingine anapangisha kwasababu ya betting........anamtaji timu tatu anaweka Laki siku akila anakula mzigo hasa,akiliwa analiwa kweli kweli,so kupanga ni kuchagua
Pole Sana mkuu.....Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla
Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka
Nikaanza kumshirikisha mama yangu mzazi nikajua atafurahi
Jambo la kushangaza akashtuka sana baada ya muda kidogo kila nikiongea nae ananambia kuna utajiri wa kafara isijekuwa nimejiunga nikadhani labda ameongea tu lakini kila mara anasema maeneno hayo hayo
Kwahiyo leo nagundua kuwa tayari ananiita mchawi
Kuna kaka yangu naye ni mlokole kwa miaka yote na mwamini lakini huwezi kuamini siku anakuja kwangu alipoondoka alianza kunizungumzia habari za kafara
Naona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Inawezekanaje mama yako mzazi anathubutu kukutamkia maneno kama haya ni dhahiri nimezaliwa familia yenye laana ya mafanikio
Unathubutuje kumshutumu mtu kuwa ana mali za kafara wakati pesa kapata kupitia betting akiwa kama mtu mzima kwanini asingetulia akaambiwa taratibu badala ya kutapika maneno machafu kama haya
Watu wengi wanasema kuzaliwa bongo ni nuksi kwakweli nimeona
Wewe na wewe ni dalali wa betting. Kwamba watu wakitaka pesa waende kubet jambo ambalo kwa kweli ni kubahatisha na mara nyingi uwezo ni kufilisiwa na wachezeshaji wa betting. Mama yako kukuita mchawi ni sawa maana mambo ya kucheza kamari hayana mwisho mzuri. na ndio maana hata vitabu vyote vya dini yamekatazwa.Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla
Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka
Nikaanza kumshirikisha mama yangu mzazi nikajua atafurahi
Jambo la kushangaza akashtuka sana baada ya muda kidogo kila nikiongea nae ananambia kuna utajiri wa kafara isijekuwa nimejiunga nikadhani labda ameongea tu lakini kila mara anasema maeneno hayo hayo
Kwahiyo leo nagundua kuwa tayari ananiita mchawi
Kuna kaka yangu naye ni mlokole kwa miaka yote na mwamini lakini huwezi kuamini siku anakuja kwangu alipoondoka alianza kunizungumzia habari za kafara
Naona jinsi gani familia yangu nitavunja nao uhusiano kwasababu ya kunipakazia mambo makubwa kiasi hiki
Inawezekanaje mama yako mzazi anathubutu kukutamkia maneno kama haya ni dhahiri nimezaliwa familia yenye laana ya mafanikio
Unathubutuje kumshutumu mtu kuwa ana mali za kafara wakati pesa kapata kupitia betting akiwa kama mtu mzima kwanini asingetulia akaambiwa taratibu badala ya kutapika maneno machafu kama haya
Watu wengi wanasema kuzaliwa bongo ni nuksi kwakweli nimeona
Je amekuelewa ulichomueleza?Niliyemweleza ni mama yangu, kwanza kabisa kitendo cha yeye kuthubutu kunipakazia maneno ya laana kama haya tayari nina mama mbaya
Baada ya kupata ile hela sikurudia tena ndo mana nikawashauri vijana wenzangu wawe na kiasi, wasicheze kwa uleviWewe na wewe ni dalali wa betting. Kwamba watu wakitaka pesa waende kubet jambo ambalo kwa kweli ni kubahatisha na mara nyingi uwezo ni kufilisiwa na wachezeshaji wa betting. Mama yako kukuita mchawi ni sawa maana mambo ya kucheza kamari hayana mwisho mzuri. na ndio maana hata vitabu vyote vya dini yamekatazwa.
Nilijua tu kaona ulokole wake haujampa miujiza, wivu tu heri rafiki kuliko ndugu aiseeSasa hivi kaelewa aliyekuwa akimfundisha ni kaka mlokole na ndiye aliyeharibu ile familia kwa habari za uchawi
Nilijifunza kitu, lakini nilifanikiwa kuwapiga marufuku kwa kuwawekea mpaka na nikawapa onyo wasinisogelee na ujinga wao, kama wanataka kuwa rafiki yangu waache upuuzi kinyume na hapo wasinisogeleeKwenye mambo nyeti ni marufuku kumwambia ndugu wewe uliamua iwe siri ukawashwa kuwaambia ndo malipo yake hayo
Mama yako inawezekana hakutegemea kufanikiwa kwako kabla ya ndugu yako, hii kwenye familia huwa inaleta shida sana wazazi kubagua watoto kuna yule anaeonekana anastahili mafanikio na mazuri yote na kuna kina kabwela sasa ikitokea kabwela akapata huibua migogoro mikubwa hata kupelekea kuvunja familia
Kama ningeanza kuwambia nimeshida sio ajabu wangesema niwagawie, nashkuru nimezifaidi mwenyewe mana hawajawahi kunijali hapo awaliShida ni wewe wala si wao. Wanakufahamu vema, wanajua gharama za ujenzi, lilikuwa jukumu lako kuwaeleza kila kitu kuhusu hizo fedha. Wanakujali sana tofauti na ulivyo chukulia