Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na mama yake

Kwani yupo humu..? Umtag tumpasue
 
Hakuna mwanaume zoba kiasi hiki duniani. Fiction
 
Lile tangazo la MCHUMBA HASOMESHWI hukuwahi kuliona kabisa?

Hongera kwa sadaka uliyotoa
 
Eeh hawasemagi tuu ila kuna vitu hadimu wanapewaga mpaka wanapagawa
🤣🤣🤣Mmmh uzembe tu,mbona siku hizi zimezagaa kama njugu tu nasikia buku tano tu Riverside ye ndio ahangaike kumsomesha huo si ubanzikulu huo?
 
Upo mkoa gani sasa hivi ? Tupo hapa tunataka tukutumie salamu za pole
 
Nchi yenu ina watu wa hovyo sana. Hivi huu ujinga ni kwamba ndiyo mlivyoumbwa au kuna mahala mnasomea.
 
Mjinga ni wewe,badala ya kusomesha wadogo zako,unasokeshabmtu ambae siyo ndugu yako.
Wangekuawa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…