Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na mama yake

Wanaume siku hizi mnatuchekesha , unapigwaje na kike live mpaka anakutishia . Wanaume tumewatelekeza vijana wetu aisee
 
Hata Mke hasomeshwi siku hizi. Ukimpeleke chuo tu anakutana wa vijana wa hovyo wanamkula na akipata kazi anaendelea kuliwa na anakuwa na kakiburi cha pesa utajuta. Hii imesababisha ndoa kuvunjika.
 
Japo inaweza kuwa ni chai ila kwenye hichi kisa wewe ni mwanaume mpumbavu.
 
ma ta ko yako..... Upo wapi nije nikumalizie ufe kbs...
Ukute anategemea pole
Sijui kwanini hawakuliua hili lijamaa tukapunguza matahira.
Kwanza tangu lini msaada ukageuka uwekezaji!
Tangu lini mwanaume timam ukaoa mwanamke hakutaki!
au unafanana kenge!
Wanawake wenye utayari na sifa wamejaa tu.
 
Mwanamke hasomeshwi wee FALA.
Mimi niliuacha huo ufala baada ya kuona nimefanya ufala.

Mwanamke hasomeshwi hata mara moja.

Awe ndugu yako Tu kwa kumsaidia mana unajua kabisa elimu Yake inaenda kusaidia dume linalokojoa kabisa.
 
Shida wakuu mnajazwa sana upepo na watu na hii mitandao. Sasa hivi dunia inawaaminisha vijana kuwa ni lazima umhudumie mpenzi wako. Mabinti wamenogewa na kula hela za vijana, na vijana nao wana wanashindana kuhudimia. Pole mkuu, ila hili ni funzo kwa vijana wengine wenye akili za kuhudia binti asiye mke wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…